Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Kwani nchi ni mali ya mwenye maonoKiongozi hawi bora kwa kufuata katiba na sheria, hivyo zilikuwepo na vitakuwepo tu. Uongozi ni maono.
u kill itHujatowa hoja kwanini awapishe, mkuu....uoga wanini mkuu muache aje apambane na mkuu 2020 ndo utajua kwanini mti wapapai hautowi mbao
Kiongozi hawi bora kwa kufuata katiba na sheria, hivyo zilikuwepo na vitakuwepo tu. Uongozi ni maono.
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.
Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,
Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama
Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
Uongozi wa kufuata sheria sio utawala bora kama unavyoamini. Utawala ni zaidi ya kufuata Sheria na mda mwingine utumie busara.Taifa lina Katiba na Sheria - Kiongozi bora ni yule anayeheshimu utawala wa Sheria. Tukutane Mahakamani 23rd.
Unasema kuwa wewe sio mwanasiasa wakati huo huo unasema awapishe kwenye siasa za Tanzania?Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.
Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,
Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama
Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
mchumia tumbo tu weweAliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.
Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,
Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama
Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
Kiongozi anaapa kufuata katiba na sheria, kuilinda na kuitetea. Haapi kuwa na maono.Kiongozi hawi bora kwa kufuata katiba na sheria, hivyo zilikuwepo na vitakuwepo tu. Uongozi ni maono.