Tundu Lissu pasua kichwa

Tundu Lissu pasua kichwa

Emma M Bai

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
223
Reaction score
126
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
 
Duh mkuu tatzo nn
Taifa lina Katiba na Sheria - Kiongozi bora ni yule anayeheshimu utawala wa Sheria. Tukutane Mahakamani 23rd.
[/QUOTE]
 
Katiba inafuatwa? Elezea kwa kuzingatia yafuatayo.

1. Uhuru kamili na mamlaka ya bunge
A) upangaji wa bajeti ......kweli bunge?

B) Uchambuzi na vipaumbele vya taifa na wahusika .......nani ?

2. Uhuru kamili wa mhimili wa mahakama
A) Sheria ya kuweka ndani watu 24hrs inafuatwa ? Toa vielelezo kwa mifano
B) Haki ya kuishi inatekelezwa ipasavyo toa maelezo ukizingatia yafuatayo
I . AZORY GWANDA
II. BEN SAANANE
III. ALPHONCE MAWAZO
IV. DAUD MWANGOSI
NK

3. Uhuru wa kutoa na kupashana habari
A) uhuru wa waandishi wa habari na vyombo vya habari
I. Bunge live ?

II. Kabendera ?

B. Mikusanyiko, Mikutano ya kisiasa, maoni nk

Please hebu tembea hoja kwa hoja kutushawishi.
 
Kiongozi hawi bora kwa kufuata katiba na sheria, hivyo zilikuwepo na vitakuwepo tu. Uongozi ni maono.
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi

Hapa ni kama unaosha nyama na sabuni ya unga ukidhani ndio mtu ni afya.
 
Taifa lina Katiba na Sheria - Kiongozi bora ni yule anayeheshimu utawala wa Sheria. Tukutane Mahakamani 23rd.
Uongozi wa kufuata sheria sio utawala bora kama unavyoamini. Utawala ni zaidi ya kufuata Sheria na mda mwingine utumie busara.
Mungu tu ameweka sheria zake lakini wanao zishika ni sawa hakuna.

Sheria zinaliza watu zokifuatwa.. mfano sheria ya kodi ya mapato. Ikifuatwa tu hata wewe lazima ulie
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
Unasema kuwa wewe sio mwanasiasa wakati huo huo unasema awapishe kwenye siasa za Tanzania?
 
MBONA POMBE NDIO MKOSOAJI MAMA, HIKI KIZEE KIMEWAKOSOA NA KUWAPAKA MAVI HATA WATANGULIZI WAKE WALIOSAIDIA WIZI WA KURA NA KUMSUKUMIZA MADARAKANI AKINA KIKWETE KANAKWAMBA HAKUNA CHA MAANA AKINA KIKWETE WALIFANYA..
LISSU NI CHAMA CHA UPINZANI, SI KAZI YAO KUSIFU BALI KUKOSOA PENYE MAKOSA ILI KULISAIDIA TAIFA..
LISSU NI MWANASHERIA AMBAE ANAHAKI YA KUMTETEA HATA MHALIFU..
MBONA POMBE NDIO KAKUMBATIA MABEBERU WA ACACIA NA BARICK !
KWANINI CCM NAO HAWAWAPONGEZI WAPINZANI AMBAO NDIO WALIANIKA MICHEZO YA CCM AKINA POMBE YA KUTAKA KUIUZA NCHI ?
POMBE ALIKABIDHIWA NYUMBA TU AKAZIHONGA, SASA KAPEWA NCHI ANAIHAMISHIA CHATO NA HATUJUI SIRI YAKE NA KAKA YAKE KAGAME. POMBE WAKATI CCM WANAUZA NCHI NI LINI ALIONGEA ZAIDI YA AKINA MNYIKA NA TUMBILI ?
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
mchumia tumbo tu wewe
 
2050 umeagana na Mungu?

Back
Top Bottom