Tundu Lissu: Nimewatetea Mashekhe wa Uamsho na sijuti kufanya hivyo

Mkuu ina hakika kama Masheikh wa Uamsho wamekuwa convicted? Sidhani. Utawala wa sheria unataka washitakiwe kama serikali inaona wana makosa na tuone kesi ikiendelea na ifike mwisho, wakikutwa na makosa wapatiwe adhabu kama hawakukutwa na makosa waachiwe.
 

Mkuu akili zako zime expirelini.

Kwanza unatakiwa kujua hata Kama umekosea Basi unayo haki ya kutetewa kisheria ili upate fair trial. Mfano umeua bila kukusudia unaweza kufungwa maisha kwa murder kesi badala ya kesi ya kukua Bila kukusudia. Hicho Bila usaidie wa mwanasheria waweze kuishia tewa.

Je Lissu Ni Nani? Kama Ni advocate na amekuwa akitetea makundi tofauti tofauti Sioni sababu ya kuanzisha mada hii
 

..unakosea ndugu yangu.

..Marekani kuna mawakili wanawatetea mahabusu wa GUANTANAMO.

..lakini huwezi kusikia mawakili hao wamepigwa risasi kama wanyama, au gaidi lenye silaha linalo resist arrest.
 
jinga kubwa wewe hivi unajuwa wanashitakiwa kwa makosa gani au unaropoka tuu.
 
Kiko wapi sasa ?
 
Habari za saa hizi Comrade!
 
Tundu Mungu ambariki sana. Zile risasi 40 zilizomkosa kwenye ubongo ilikuwa ni neema ya Mungu kutokana tangu awe mwanasheria amesaidia watu wengi sana maskini. Hawakuwa na cha kumlipa lakini aalimwombea Baraka kwa Mungu.
 
Nimekaa vikao na Tundu Lissu amekuwa akiwatetea mashehe wa uamsho kwa nuda mrefu sana.

Kitu kimoja cha msingi alichopinga ni kuvunjwa kwa due process.

Yani hata kama mtu kakosea, mshike, mfungulie mashtaka, mshitaki, mpe nafasi ya kujitetea mahakamani kama katiba inavyotaka nchi iendeshwe kisheria.

Siyo unamfunga mtu rumande miaka sita kesi inapigwa danadana, serikali inajifaragua uchunguzi haujakamilika.

Mtu kukaa jela miaka sita ni kifungo tayari. Uchunguzi ukigundua hana hatia umempotezea mtu miaka sita ya maisha yake.
 
Unaweza kuhusisha vipi Uamsho na hayo matukio ya uhalifu yaliyotokea Unguja? Kama haya uliyoandika yana ukweli, mbona hakuna hukumu iliyowatia hatiani juu ya huo uhalifu wao? Kama unao ushahidi wa dhahiri tuwekee hapa.
 
Unaweza kuhusisha vipi Uamsho na hayo matukio ya uhalifu yaliyotokea Unguja? Kama haya uliyoandika yana ukweli, mbona hakuna hukumu iliyowatia hatiani juu ya huo uhalifu wao? Kama unao ushahidi wa dhahiri tuwekee hapa.
Ushahidi wanao lakini wameshindwa kupeleka kwa DPP kwa miaka 8🤣🤣
 
Vipi leo umechapisha nakala ngapi kuwasambazia makampuni ya watalii? au ndio kubadilisha gia angani?
 

 
Hizo zilikua agenda za kuombea Kura lakini deed down anafahamu risk ya kuendesha nchi kukiwa na watu wa aina hii ya Uamsho.

Unaachia watu ambao walisababisha madhara makubwa namna hii haya ni maamuzi hatarishi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…