Tundu Lissu: Nimewatetea Mashekhe wa Uamsho na sijuti kufanya hivyo

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,017
Nimesikiliza mahojiano kati ya wana diaspora wa Marekani na Tundu Lissu.

Kuna diaspora mmoja akam challenge Tundu Lissu kuhusu kuwatetea Mashekhe wa Uamsho ambao wamekaa rumande miaka kadhaa sasa.

Tundu Lissu akamjibu kuwa amekuwa akiwatetea Mashekhe hao na kama muuliza swali haamini basi akajiridhishe kwa kumuona Shekhe Faridi aliyeko magereza Segerea.

Kisa hiki kinanirudisha kwa safari ya Shekhe Ponda kwenda Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu.

Inawezekana Shekhe Ponda na Tundu Lissu wamejuana kupitia suala la Mashekhe wa Uamsho.

Cc Pohamba
 
Hapo Lisu kachemka watalii wazungu waliomwagiwa tindikali Zanzibar ,makanisa yalichomwa moto kipindi cha uamsho cha hao mashehe.Utalii ukaporomoka Zanzibar wazungu ndege zao zikawa na hofu kuu kutua Zanzibar . Serikali ikawadaka kuwasweka ndani hali ikawa shwari Zanzibar hadi leo.Kumetulia.Lisu anawatetea haya wee nakala ziwafikie makampuni yaletayo watalii Zanzibar yaliyoko Marekani na Ulaya.Lisu huyo mtetea adui zenu
 
Lissu ni wakili hana mipaka ya kufanya kazi yake kuwatetea wanaoonewa. Na kuhusu uzushi wako kuwa hao Mashehe wanahusika kuwamwagia tindikali watu kwa nini wasihukumiwe kama ushahidi dhidi yao upo? Mumekosa hoja za kumjibu Lissu sasa mnajiropokea tu kama mumekunywa maji machafu. Hakika Lissu kawashika makalio kisawasawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli hayo yote yalifanywa na masheikh hao kwanini mpaka leo hawajahukumiwa? Au wewe umekuwa nani wa kuwatia hatiani bila ushahidi. Lissu ni mwanasheria anayohaki haki ya kumtetea yeyote yule. Mbona huku bara watu wanatekwa na kupotea lakini hakuna aliekamatwa.
 
Hapo Lisu kachemka watalii wazungu waliomwagiwa tindikali Zanzibar ,makanisa yalichomwa moto kipindi cha uamsho cha hao mashehe.Utalii ukaporomoka Zanzibar wazungu ndege zao zikawa na hofu kuu kutua Zanzibar . Serikali ikawadaka kuwasweka ndani hali ikawa shwari Zanzibar hadi leo.Kumetulia.Lisu anawatetea haya wee nakala ziwafikie makampuni yaletayo watalii Zanzibar yaliyoko Marekani na Ulaya.Lisu huyo mtetea adui zenu
Kitu gani kwa muono wako Lissu amewahi fanya na hakuchemka?
 
Hapo Lisu kachemka watalii wazungu waliomwagiwa tindikali Zanzibar ,makanisa yalichomwa moto kipindi cha uamsho cha hao mashehe.Utalii ukaporomoka Zanzibar wazungu ndege zao zikawa na hofu kuu kutua Zanzibar . Serikali ikawadaka kuwasweka ndani hali ikawa shwari Zanzibar hadi leo.Kumetulia.Lisu anawatetea haya wee nakala ziwafikie makampuni yaletayo watalii Zanzibar yaliyoko Marekani na Ulaya.Lisu huyo mtetea adui zenu
Life is very strange and it's balance is very tricky
 
Lissu ni wakili hana mipaka ya kufanya kazi yake kuwatetea wanaoonewa. Na kuhusu uzushi wako kuwa hao Mashehe wanahusika kuwamwagia tindikali watu kwa nini wasihukumiwe kama ushahidi dhidi yao upo? Mumekosa hoja za kumjibu Lissu sasa mnajiropokea tu kama mumekunywa maji machafu. Hakika Lissu kawashika makalio kisawasawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu ni mtu hatari, he just wants to challenge the state either defending himself as an enemy of the government or defending the convicted enemy of the states, like hao sheikh wa uamsho, acacia etc.
Nyie shabikieni tu, hamjui watu na mipango yao. Mnarukishwa mkojo mkatue kwenye mavi.

Hao mashehe mbona hawahukumiwi sasa? Na Lissu ni mtu hatari kwa vile anawatetea watuhumiwa ambao bado hawajatiwa hatiani, hivi zimo kweli kichwani wewe au ndiyo ukiwa upande huo lazima ujitoe ufahamu?
downloadfile-2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikiliza mahojiano kati ya wana diaspora wa Marekani na Tundu Lissu.

Kuna diaspora mmoja akam challenge Tundu Lissu kuhusu kuwatetea Mashekhe wa Uamsho ambao wamekaa rumande miaka kadhaa sasa.

Tundu Lissu akamjibu kuwa amekuwa akiwatetea Mashekhe hao na kama muuliza swali haamini basi akajiridhishe kwa kumuona Shekhe Faridi aliyeko magereza Segerea.

Kisa hiki kinanirudisha kwa safari ya Shekhe Ponda kwenda Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu.

Inawezekana Shekhe Ponda na Tundu Lissu wamejuana kupitia suala la Mashekhe wa Uamsho.

Cc Pohamba
Kiketwe aliwatupa ndani na kunasababu za kuwaweka huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitashangaa sana kama kuna muislam anayejitambua akawapa ccm kura.
Hili la masheikh na msikiti kuvunjwa udom achilia mbali shule za kiislam kufanya vibaya kielimu kuikumbatia bakwata linatosha kujua kuwa adui wa waislam ni nani

FaizaFoxy
USSR
@thw big show
Usiingize mambo ya dini hapa. Mbona Mwalimu aliyekuwa Mkatoliki alitaifisha shule za Katoliki kama vile Pugu, Kilakala na Milambo; na shule za Anglikana kama Minaki? Sasa kwa mtazamo wako Mkristu asingepaswa kumpigia kura Mwalimu eti kwa kuwa ametaifisha shule za Kikristu? Kule kutofanya vizuri kwa sasa kwa shule za Kiislamu kunahusuje Serikali? Huku ni kujaribu kupata jawabu kirahisirahisi kwa visingizio visivyo na maana. Jee ni kweli Serikali inazipendelea shule za Kikristu na kuwapasisha wanafunzi wake wakati ikiwafelisha wanafunzi wanaosoma shule sa Kiislamu? Tumekuwa na marais Waislamu: Mwinyi na Kikwete. wakati wa utawala wao bado shule za Kikristu zilikuwa zikifanya vizuri wakati shule za Kiislamu zilikuwa zikifanya vibaya. Nenda kwenye shule zenyewe ukadadisi vipi shule hii inafanya vibaya wakati nyingine zinafanya vizuri na hapo ndiyo utoe pendekezo lako. Usiunganishe matatizo yaliyopo na Serikali iliyopo madarakani.
 
Nitashangaa sana kama kuna muislam anayejitambua akawapa ccm kura.
Hili la masheikh na msikiti kuvunjwa udom achilia mbali shule za kiislam kufanya vibaya kielimu kuikumbatia bakwata linatosha kujua kuwa adui wa waislam ni nani

FaizaFoxy
USSR
@thw big show
unataka kusema kuwa shule za waislam zinafelishwa makusudi????
hapo ni kutaka kupata majibu marahisi kwenye mambo magumu, nadhani ifike kipindi mkae chini mjitathmini muone ni wapi mnakosea kuliko kutuoa sababu rahisi kabisa namna hii..
 
Hapo Lisu kachemka watalii wazungu waliomwagiwa tindikali Zanzibar ,makanisa yalichomwa moto kipindi cha uamsho cha hao mashehe.Utalii ukaporomoka Zanzibar wazungu ndege zao zikawa na hofu kuu kutua Zanzibar . Serikali ikawadaka kuwasweka ndani hali ikawa shwari Zanzibar hadi leo.Kumetulia.Lisu anawatetea haya wee nakala ziwafikie makampuni yaletayo watalii Zanzibar yaliyoko Marekani na Ulaya.Lisu huyo mtetea adui zenu

Sidhani kama ulichoandika hapa umefikiria mara mbili mbili.
Wakati msheikh wa uamsho wamo ndani hadi sasa bado zanzibar si salama watu waliofunika nyuso zao wanawafata wananchi majumbani mwao na kuwapiga na kuwauwa. wengine wametekwa na kufichwa siku kadhaa na wengine hawajulikani waliko na bado haya ni matukio yanaendelea. vituo vya redio vimevamiwa na watu kuumizwa sana nk

Ukienda kule zanzibar kuna CDs za matukio kama haya ambayo yanatokea hadi sasa na hao masheikh wako magerezani sasa je mambo haya si hatari kwa watalii kwenda Zanzibar? kwa mtazamo wako binadamu ni aliyevaa nguo za kijani tu?
 
Lisu ni mtu hatari, he just wants to challenge the state either defending himself as an enemy of the government or defending the convicted enemy of the states, like hao sheikh wa uamsho, acacia etc.
Nyie shabikieni tu, hamjui watu na mipango yao. Mnarukishwa mkojo mkatue kwenye mavi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni nani mpaka ujue huyu ni adui na huyu si adui. Nyie lambeni miguu hata hao mnaowaona wazalendo ni maadui vile vile.

Lissu kama MP ana haki ya kulalamikia kupigwa risasi mchana kweupe, halafu akanyimwa huduma ambayo ni stahiki yake kikatiba. Kukaa kimya siyo uzalendo. Na bora kelele ziwepo kwa vile haya mambo yalizidi. Kumbuka watu kama Mawazo, Saa 8, Azzory, katibu wa Hananasifu nk nk.
Where are they ??!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Lisu kachemka watalii wazungu waliomwagiwa tindikali Zanzibar ,makanisa yalichomwa moto kipindi cha uamsho cha hao mashehe.Utalii ukaporomoka Zanzibar wazungu ndege zao zikawa na hofu kuu kutua Zanzibar . Serikali ikawadaka kuwasweka ndani hali ikawa shwari Zanzibar hadi leo.Kumetulia.Lisu anawatetea haya wee nakala ziwafikie makampuni yaletayo watalii Zanzibar yaliyoko Marekani na Ulaya.Lisu huyo mtetea adui zenu
Kumbe katika mengine yote yupo hawa anapatia,leo nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom