Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,578
- 7,281
Mkuu ina hakika kama Masheikh wa Uamsho wamekuwa convicted? Sidhani. Utawala wa sheria unataka washitakiwe kama serikali inaona wana makosa na tuone kesi ikiendelea na ifike mwisho, wakikutwa na makosa wapatiwe adhabu kama hawakukutwa na makosa waachiwe.Lisu ni mtu hatari, he just wants to challenge the state either defending himself as an enemy of the government or defending the convicted enemy of the states, like hao sheikh wa uamsho, acacia etc.
Nyie shabikieni tu, hamjui watu na mipango yao. Mnarukishwa mkojo mkatue kwenye mavi.
Sent using Jamii Forums mobile app