Tundu Lissu: Nimewatetea Mashekhe wa Uamsho na sijuti kufanya hivyo

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,037
2,000
Lisu ni mtu hatari, he just wants to challenge the state either defending himself as an enemy of the government or defending the convicted enemy of the states, like hao sheikh wa uamsho, acacia etc.
Nyie shabikieni tu, hamjui watu na mipango yao. Mnarukishwa mkojo mkatue kwenye mavi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ina hakika kama Masheikh wa Uamsho wamekuwa convicted? Sidhani. Utawala wa sheria unataka washitakiwe kama serikali inaona wana makosa na tuone kesi ikiendelea na ifike mwisho, wakikutwa na makosa wapatiwe adhabu kama hawakukutwa na makosa waachiwe.
 
Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
2,536
2,000
Hapo Lisu kachemka watalii wazungu waliomwagiwa tindikali Zanzibar ,makanisa yalichomwa moto kipindi cha uamsho cha hao mashehe.Utalii ukaporomoka Zanzibar wazungu ndege zao zikawa na hofu kuu kutua Zanzibar . Serikali ikawadaka kuwasweka ndani hali ikawa shwari Zanzibar hadi leo.Kumetulia.Lisu anawatetea haya wee nakala ziwafikie makampuni yaletayo watalii Zanzibar yaliyoko Marekani na Ulaya.Lisu huyo mtetea adui zenu

Mkuu akili zako zime expirelini.

Kwanza unatakiwa kujua hata Kama umekosea Basi unayo haki ya kutetewa kisheria ili upate fair trial. Mfano umeua bila kukusudia unaweza kufungwa maisha kwa murder kesi badala ya kesi ya kukua Bila kukusudia. Hicho Bila usaidie wa mwanasheria waweze kuishia tewa.

Je Lissu Ni Nani? Kama Ni advocate na amekuwa akitetea makundi tofauti tofauti Sioni sababu ya kuanzisha mada hii
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,154
2,000
Lisu ni mtu hatari, he just wants to challenge the state either defending himself as an enemy of the government or defending the convicted enemy of the states, like hao sheikh wa uamsho, acacia etc.
Nyie shabikieni tu, hamjui watu na mipango yao. Mnarukishwa mkojo mkatue kwenye mavi.

Sent using Jamii Forums mobile app

..unakosea ndugu yangu.

..Marekani kuna mawakili wanawatetea mahabusu wa GUANTANAMO.

..lakini huwezi kusikia mawakili hao wamepigwa risasi kama wanyama, au gaidi lenye silaha linalo resist arrest.
 
GAS STATE

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,770
2,000
Hapo Lisu kachemka watalii wazungu waliomwagiwa tindikali Zanzibar ,makanisa yalichomwa moto kipindi cha uamsho cha hao mashehe.Utalii ukaporomoka Zanzibar wazungu ndege zao zikawa na hofu kuu kutua Zanzibar . Serikali ikawadaka kuwasweka ndani hali ikawa shwari Zanzibar hadi leo.Kumetulia.Lisu anawatetea haya wee nakala ziwafikie makampuni yaletayo watalii Zanzibar yaliyoko Marekani na Ulaya.Lisu huyo mtetea adui zenu
jinga kubwa wewe hivi unajuwa wanashitakiwa kwa makosa gani au unaropoka tuu.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,382
2,000
Nimesikiliza mahojiano kati ya wana diaspora wa Marekani na Tundu Lissu.

Kuna diaspora mmoja akam challenge Tundu Lissu kuhusu kuwatetea Mashekhe wa Uamsho ambao wamekaa rumande miaka kadhaa sasa.

Tundu Lissu akamjibu kuwa amekuwa akiwatetea Mashekhe hao na kama muuliza swali haamini basi akajiridhishe kwa kumuona Shekhe Faridi aliyeko magereza Segerea.

Kisa hiki kinanirudisha kwa safari ya Shekhe Ponda kwenda Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu.

Inawezekana Shekhe Ponda na Tundu Lissu wamejuana kupitia suala la Mashekhe wa Uamsho.

Cc Pohamba
Kiko wapi sasa ?
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
53,576
2,000
Hapo Lisu kachemka watalii wazungu waliomwagiwa tindikali Zanzibar ,makanisa yalichomwa moto kipindi cha uamsho cha hao mashehe.Utalii ukaporomoka Zanzibar wazungu ndege zao zikawa na hofu kuu kutua Zanzibar . Serikali ikawadaka kuwasweka ndani hali ikawa shwari Zanzibar hadi leo.Kumetulia.Lisu anawatetea haya wee nakala ziwafikie makampuni yaletayo watalii Zanzibar yaliyoko Marekani na Ulaya.Lisu huyo mtetea adui zenu
Habari za saa hizi Comrade!
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
15,877
2,000
Nimesikiliza mahojiano kati ya wana diaspora wa Marekani na Tundu Lissu.

Kuna diaspora mmoja akam challenge Tundu Lissu kuhusu kuwatetea Mashekhe wa Uamsho ambao wamekaa rumande miaka kadhaa sasa.

Tundu Lissu akamjibu kuwa amekuwa akiwatetea Mashekhe hao na kama muuliza swali haamini basi akajiridhishe kwa kumuona Shekhe Faridi aliyeko magereza Segerea.

Kisa hiki kinanirudisha kwa safari ya Shekhe Ponda kwenda Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu.

Inawezekana Shekhe Ponda na Tundu Lissu wamejuana kupitia suala la Mashekhe wa Uamsho.

Cc Pohamba
Tundu Mungu ambariki sana. Zile risasi 40 zilizomkosa kwenye ubongo ilikuwa ni neema ya Mungu kutokana tangu awe mwanasheria amesaidia watu wengi sana maskini. Hawakuwa na cha kumlipa lakini aalimwombea Baraka kwa Mungu.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,155
2,000
Nimesikiliza mahojiano kati ya wana diaspora wa Marekani na Tundu Lissu.

Kuna diaspora mmoja akam challenge Tundu Lissu kuhusu kuwatetea Mashekhe wa Uamsho ambao wamekaa rumande miaka kadhaa sasa.

Tundu Lissu akamjibu kuwa amekuwa akiwatetea Mashekhe hao na kama muuliza swali haamini basi akajiridhishe kwa kumuona Shekhe Faridi aliyeko magereza Segerea.

Kisa hiki kinanirudisha kwa safari ya Shekhe Ponda kwenda Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu.

Inawezekana Shekhe Ponda na Tundu Lissu wamejuana kupitia suala la Mashekhe wa Uamsho.

Cc Pohamba
Nimekaa vikao na Tundu Lissu amekuwa akiwatetea mashehe wa uamsho kwa nuda mrefu sana.

Kitu kimoja cha msingi alichopinga ni kuvunjwa kwa due process.

Yani hata kama mtu kakosea, mshike, mfungulie mashtaka, mshitaki, mpe nafasi ya kujitetea mahakamani kama katiba inavyotaka nchi iendeshwe kisheria.

Siyo unamfunga mtu rumande miaka sita kesi inapigwa danadana, serikali inajifaragua uchunguzi haujakamilika.

Mtu kukaa jela miaka sita ni kifungo tayari. Uchunguzi ukigundua hana hatia umempotezea mtu miaka sita ya maisha yake.
 
Rwabugonzi

Member
Sep 27, 2020
51
125
Hapo Lisu kachemka watalii wazungu waliomwagiwa tindikali Zanzibar ,makanisa yalichomwa moto kipindi cha uamsho cha hao mashehe.Utalii ukaporomoka Zanzibar wazungu ndege zao zikawa na hofu kuu kutua Zanzibar . Serikali ikawadaka kuwasweka ndani hali ikawa shwari Zanzibar hadi leo.Kumetulia.Lisu anawatetea haya wee nakala ziwafikie makampuni yaletayo watalii Zanzibar yaliyoko Marekani na Ulaya.Lisu huyo mtetea adui zenu
Unaweza kuhusisha vipi Uamsho na hayo matukio ya uhalifu yaliyotokea Unguja? Kama haya uliyoandika yana ukweli, mbona hakuna hukumu iliyowatia hatiani juu ya huo uhalifu wao? Kama unao ushahidi wa dhahiri tuwekee hapa.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
15,877
2,000
Unaweza kuhusisha vipi Uamsho na hayo matukio ya uhalifu yaliyotokea Unguja? Kama haya uliyoandika yana ukweli, mbona hakuna hukumu iliyowatia hatiani juu ya huo uhalifu wao? Kama unao ushahidi wa dhahiri tuwekee hapa.
Ushahidi wanao lakini wameshindwa kupeleka kwa DPP kwa miaka 8🤣🤣
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,516
2,000
Hapo Lisu kachemka watalii wazungu waliomwagiwa tindikali Zanzibar ,makanisa yalichomwa moto kipindi cha uamsho cha hao mashehe.Utalii ukaporomoka Zanzibar wazungu ndege zao zikawa na hofu kuu kutua Zanzibar . Serikali ikawadaka kuwasweka ndani hali ikawa shwari Zanzibar hadi leo.Kumetulia.Lisu anawatetea haya wee nakala ziwafikie makampuni yaletayo watalii Zanzibar yaliyoko Marekani na Ulaya.Lisu huyo mtetea adui zenu
Vipi leo umechapisha nakala ngapi kuwasambazia makampuni ya watalii? au ndio kubadilisha gia angani?
 
Elli M

Verified Member
Mar 17, 2008
42,262
2,000
Hapo Lisu kachemka watalii wazungu waliomwagiwa tindikali Zanzibar ,makanisa yalichomwa moto kipindi cha uamsho cha hao mashehe.Utalii ukaporomoka Zanzibar wazungu ndege zao zikawa na hofu kuu kutua Zanzibar . Serikali ikawadaka kuwasweka ndani hali ikawa shwari Zanzibar hadi leo.Kumetulia.Lisu anawatetea haya wee nakala ziwafikie makampuni yaletayo watalii Zanzibar yaliyoko Marekani na Ulaya.Lisu huyo mtetea adui zenu

2809233_Don_Mbowe_on_Instagram_15_February_2019..0A.0AVitu_vya_kuogopa_Sana_Hapa_Duniani_ni_Mu...jpg
 
Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
24,772
2,000
Hizo zilikua agenda za kuombea Kura lakini deed down anafahamu risk ya kuendesha nchi kukiwa na watu wa aina hii ya Uamsho.

Unaachia watu ambao walisababisha madhara makubwa namna hii haya ni maamuzi hatarishi mno.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom