Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,848
Ni usiku wa manane naandika Habari hii maana sijalala kabisa huku nikiwa nasoma majarida mbalimbali ya wanaharakati duniani wenye misimamo mikali isiyotikisika Yesar Arafat, Kanali Gaddafi, a King, Malala, Fidel, Mohamed Kirumila na wengine wengi ni viongozi watakao dumu kwenye akili za wanadamu kwa kuwa na misimamo isiyonunulika kwa dola ya marekani.
Mpaka Sasa Tundu Lissu yupo kwenye kimya kizito maana hataki lawama, tangu atoke Freeman Mbowe hata kabla ya kuongea na viongozi wenzake wa Chama kina Lissu, Mnyika na Pambalu (kijana mwenye msimamo thabiti) alienda moja kwa moja kuonana na Rais huku akipata Chai ya Gold bila hata taarifa kutoka hedikota ya Chama.
Mbowe ni msaliti tena kaomba msamaha ili atoke kwenye kifungo
Naomba ieleweke kuwa, unapokuwa mwanasiasa wa jamii husika au mwanaharakati ni vyema zaidi uwe na roho inayotaka umauti mda wowote.
Bobi wine mwanasiasa kutoka Uganda alipokuwa kwenye kampeni za urais alikoswakoswa mara tatu kupigwa risasi za kichwa lakini kamwe hakusitisha mapambano mpaka Sasa.
Tundu lissu antipas ni roho sio mtu maana kama ni mwili wa nyama alichakazwa akiwa Dodoma zaidi ya risasi 32 zilisukumwa kwenye mwili wake lakini mpaka sasa anapambania wananchi sio yeye.
Mbowe toka CHADEMA, hapakufai tena period