Sasa hupo studio kuna viti vya umeme vyenye matairi sisi wenzio tumefika hapo!Kwani huyo lisu wako ameacha kutembea na magongo?
Si unajua kazi ya beberu[emoji3]Kumbe unawaogopa wazungu?
In God we Trust
So baada ya hapo what comes next?Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame
View attachment 995391
In God we Trust
======
Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.
Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
Sio ile ya Starehe ile ya kukomoa,unajua tena ghadhabu.
Haa mwenye sharubu1
Kwa mfano wewe nikijuwa mahali unaishi, ama zako ama zangu.Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Lofa huyo anafikiri CCM itamtoa.Anadhani wote ni wapiga zumari wa chakubanga hapo lumumba
In God we Trust
Unauliza maswali ya kishoga, ulitaka akuingizie wewe hayo magongo ndo ungeskia raha!bwabwa wewe!Kama huna jibu funga domo lako.
Leo hapo ufukweni kuna watu usingizi utatafutwa kwa BalimiNipo mkao wa kula kusikia madini na fact zilizoenda shule
Bwabwa lile.Umempatia haki yake
In God we Trust
Bwabwa lenye ukoko!😀Bwabwa lile.
Hamna kipindi kibaya kama hiki . Trump hata washiriki zake hata kuwasaidia na sera zake hazina kipaumbele kwa Afrika. Hadi leo Marekani haina balozi Tanzania. UK inahangaika na Brexit. EU ina matatizo na Urusi, Brexit na kwa kifupi pale amebaki Mjerumani na Mfaransa ambao hawana ushawishi huku. Inabidi ajiulize kwanini yale matukio makubwa yalishindwa kushawishi hao wazungu na asipokiwa makini akifeli CCM watammaliza kisiasa.Kipindi kile Trump alikuwa bado anasoma
In God we Trust