Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tunajua kila kitu, na tunafuatilia. Tunampenda mwenzetu na tupo tayari kuendelea kumwamini.
Tunashukuru ombi letu la kutangaza nia limeungwa mkono vema na yeye na wenzake huko CDM.
 
Inabidi atangazwe kama Nyara ya Taifa make ni kama yuko katika viumbe vyenye hatari ya kutoweka duniani
Baada ya wazungu kuona ana IQ kubwa kuwazidi wabunge wote wa Tanzania wakaona kwa gharama yoyote lazima apone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…