Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Umevrugwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuendekeza njaa. Angekuwa baba ako kamiminiwa hizo risasi ungeuliza hilo swali? Unaonekana umekula chumvi nyingi lakini huna hekima hata robo. Kichwani unawaza njaa na teuzi tu hivyo unakosa hadi utu.
Konda mchafu wewe.
 
Kipindi kitarushwa muda gani na TV ipi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kumung'unya maneno huyu mtu ni jasiri. Tena jasiri kweli kweli kuliko huyu anaeogopa hata maandamano au mijadala Ila ni bingwa wa kupiga mikwala akiwa kwenye TV.
Hivi ni mtanzania gn mwingine angepigwa lisasi mchana kweupe hata 2 tu angesimama tena jukwaani au kurudi tz?
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
Mbona una hasira kali?
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…