Akisema alete profeshenolizm lazima ataliwa kichwa mapema sana.Mkuu wa gereza anaulizwa maswali ya sheria na Lissu badala ya kujibu kwa hoja, anaanza kujitetea "mimi sio daktari." Hivi kweli huu sio ugonjwa wa kujitakia na ukihiyo wa kiwango cha juu? Wanaadhirika mchana kweupe! 😂
Kuna sehemu alisema eti "mimi siyo mwanasheria"!! Is it possible kufikia hatua ya kuwa Bwana Jela wa gereza kubwa kama Ukonga halafu huna uelewa wowote ule wa sheria! Kwa hali hii nchi itapiga hatua kweli ya maendeleo!Mkuu wa gereza anaulizwa maswali ya sheria na Lissu badala ya kujibu kwa hoja, anaanza kujitetea "mimi sio daktari." Hivi kweli huu sio ugonjwa wa kujitakia na ukihiyo wa kiwango cha juu? Wanaadhirika mchana kweupe! 😂
Vyovyote vile cha msingi Lissu aachiwe huru as soon as possible. Ni binadamu mwenzetu asiye na hatia. Sio mnyama yule!View attachment 3635132
Najiuliza tu, what if sinema ya BWANA JELA vs LISSU jana ni mbinu ya Samia na serikali yake kukabiliana na tamko/matakwa ya Jumuiya ya Madola??
Sio siri kwamba hawana uhalali wowote wakumshikilia TAL, lakini pia hawawezi kumuachilia tu just like that. So... pengine wanachofanya ni kutoa mwanya wa kesi yake kutupiliwa mbali "kisheria" 🤔
💯 clown show!!!Mkuu wa gereza anaulizwa maswali ya sheria na Lissu badala ya kujibu kwa hoja, anaanza kujitetea "mimi sio daktari." Hivi kweli huu sio ugonjwa wa kujitakia na ukihiyo wa kiwango cha juu? Wanaadhirika mchana kweupe! 😂
Thanks binti kiziwi 😊Nimefurahi kukuona Girl Poet Good observation, serikali na ego za watawala haziwaruhusu kuitupilia mbali hii case bila kupata ground nzuri “zinatakazowakosha” za kufanya hivyo.
Swali hivi hawa watu wanajua implications zinazoweza kuwapata individually?
Hivi hawawezi kushitakiwa mmoja mmoja? Mtu anavunja sheria mahakamani live.
Kumbe anaendesha gereza kwa utashi binafsi.
Nimeamini usi-underestimated nguvu ya mtu mjinga.
Hata hiyo kusema sio mwanasheria haimsaidii hata kidogo.Kuna sehemu alisema rti "mimi siyo mwanasheria"!! Is it possible kufikia hatua ya kuwa Bwana Jela wa gereza kubwa kama Ukonga halafu huna uelewa wowote ule wa sheria! Kwa hali hii nchi itapiga hatua kweli ya maendeleo!
Sasa mtu kabakisha miaka mitatu kustaafu anaogopa nini?!Akisema alete profeshenolizm lazima ataliwa kichwa mapema sana.
Ndio sababu akachagua kujifanya hamnazo
jiulize bado Samia demko ni shahidi wake kesi ya uhaini akiitwa kizimbani pata picha hiyoMkuu wa gereza anaulizwa maswali ya sheria na Lissu badala ya kujibu kwa hoja, anaanza kujitetea "mimi sio daktari." Hivi kweli huu sio ugonjwa wa kujitakia na ukihiyo wa kiwango cha juu? Wanaadhirika mchana kweupe! 😂
Anaogopa kuwekwa bench(kutumbuliwa)Sasa mtu kabakisha miaka mitatu kustaafu anaogopa nini?!
Unaweza kuliwa kchwa kabla ya kumaliza 3 yrsSasa mtu kabakisha miaka mitatu kustaafu anaogopa nini?!
Pale juu kuna form four failure 👎Kuna sehemu alisema eti "mimi siyo mwanasheria"!! Is it possible kufikia hatua ya kuwa Bwana Jela wa gereza kubwa kama Ukonga halafu huna uelewa wowote ule wa sheria! Kwa hali hii nchi itapiga hatua kweli ya maendeleo!
Kuna maigizo/ulaghai mwingi sana, kama ilivyo kawaida ya Samia Suluhu Hassan katika kila jambo analofanya.
Najiuliza tu, what if sinema ya BWANA JELA vs LISSU jana ni mbinu ya Samia na serikali yake kukabiliana na tamko/matakwa ya Jumuiya ya Madola??
Sio siri kwamba hawana uhalali wowote wakumshikilia TAL, lakini pia hawawezi kumuachilia tu just like that. So... pengine wanachofanya ni kutoa mwanya wa kesi yake kutupiliwa mbali "kisheria" 🤔
Pia Soma Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Kwani akina Chande Othman na wenzake wote kwenye Tume ya kusafisha damu ya waTanzania iliyomwagwa hovyo huoni wanavyoendelea kutumika?Sasa mtu kabakisha miaka mitatu kustaafu anaogopa nini?!
Kweli💯Kwani akina Chande Othman na wenzake wote kwenye Tume ya kusafisha damu ya waTanzania iliyomwagwa hovyo huoni wanavyoendelea kutumika?
Hawa woote, wanayo matumaini kama hayo hayo, ya kuendelea kutupiwa vimifupa vya kulamba baada ya kustaafu.