Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 519
- 1,463
Nawakumbusha tu kuwa huyu Tundu Lissu ni legal intellect ya kiwango cha juu! anayechanganya constitutional reasoning, evidence doctrines, na human-rights jurisprudence kwa ustadi wa kipekee. Uelewa wake wa ICCPR, African Charter, na Katiba ya Tanzania humuwezesha ku-dismantle kesi hata zilizo “fabricated.” Ni master wa legal strategy, mwenye analytical depth ambayo ni rare katika legal practice ya Afrika Mashariki. Kisheria, ni vigumu sana kumshinda.
Sasa endeleeni na mchezo wenu hivyo hivyo!
Sasa endeleeni na mchezo wenu hivyo hivyo!