Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Raisi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Law Society TLS Mhe. Tundu Lissu amesema aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Dr Harrison Mwakyembe alikuwa anajipendekeza kwa Raisi John Pombe Magufuli .Pia Lissu ameongelea hoja ya kumvua uanachama wa TLS Dr Harrison Mwakyembe ambayo iliwasilishwa na kujadiliwa kwenye mkutano mkuu wa TLS uliofanyika March 18.