Tundu Lissu mbioni kutoa kitabu

Tundu Lissu mbioni kutoa kitabu

Kesha umizwa Huyo, mdomo umeponza kichwa, acha ajifariji na kitabu, ila akumbuke pia ngawira za Lowassa alizogawana na kina Mbowe zilivyomuharibia maisha Dr Slaa.

Malipo ni hapa duniani
Hujitambui pole sana
 
Sidhani kama hicho kitabu kitakubaliwa kusambazwa hapa Tanzania.
Hata kitabu cha "Uongozi wetu na Hatma ya Tanzania" Mwl Nyerere, alienda kukichapia huko Zimbabwe (1995) na kilipo fika Tanzania pale airport Dar, nakala elfu 10 ziliisha ndani ya nusu Saa....
Lissu anaweza kukichapa nchi yoyote ile Duniani na kikafika hapa TZ na kuuzwa kwa wahitaji..... japo kitapigwa marufuku na wahusika chini ya vitisho vya Sirro-IGP, lakini kitauzwa!!!!
Binafsi ni lazima nipate nakala yangu kwa bei yoyote ile.....
 
Mwanasiasa mashuhuri zaidi Afrika Mashariki Tundu Antipas Lissu anajiandaa kuandika kitabu chake kitakachosambazwa duniani kote.

Lissu ambaye ni Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika TLS anatarajiwa kuelezea maisha yake kwa ujumla na hasa jaribio lililopangwa na kushindwa la kuondoa Uhai wake Septemba 7.

Kiongozi huyo ambaye pia ni Mwanasheria mkuu wa Chadema anatarajiwa katika kitabu hicho kueleza uvunjifu wa haki za binadamu na ukandamizaji wa Uhuru wa kutoa maoni.

Kiongozi huyo mwenye nyadhifa kadhaa ikiwemo mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu mkuu wa upinzani alipatwa na madhila ya kupigwa risasi hadharani mchana kweupe huku mpaka leo ikiwa hakuna yeyote aliyekamatwa kuhusika na tukio hilo.

Kitabu hicho cha Tundu Lissu kinatarajiwa kutafsiriwa kwa lugha kadhaa ili iwe rahisi kusambazwa duniani kote na kiwafikie watu wengi zaidi.
Kila MTU mwenye akili timamu hakubali kufa kabla ya kuandika kitabu
 
Wakitaka kuzuia labda wa block mitandao yote na google.......dunia imewaacha mbali sana hawa wazandiki.
Hata kitabu cha "Uongozi wetu na Hatma ya Tanzania" Mwl Nyerere, alienda kukichapia huko Zimbabwe (1995) na kilipo fika Tanzania pale airport Dar, nakala elfu 10 ziliisha ndani ya nusu Saa....
Lissu anaweza kukichapa nchi yoyote ile Duniani na kikafika hapa TZ na kuuzwa kwa wahitaji..... japo kitapigwa marufuku na wahusika chini ya vitisho vya Sirro-IGP, lakini kitauzwa!!!!
Binafsi ni lazima nipate nakala yangu kwa bei yoyote ile.....
 
Labda aandike kuhusu maisha yake binafi. Lakini kwenye Tasnia ya Sheria hawezi, sijawahi ona andiko la Lissu zaidi ya vijarida alivyoshirikishwa na wenye uwezo wao. Hata mini ninamshinda.
Elewa mada kabla ya kuchangia
 
Mwanasiasa mashuhuri zaidi Afrika Mashariki Tundu Antipas Lissu anajiandaa kuandika kitabu chake kitakachosambazwa duniani kote.

Lissu ambaye ni Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika TLS anatarajiwa kuelezea maisha yake kwa ujumla na hasa jaribio lililopangwa na kushindwa la kuondoa Uhai wake Septemba 7.

Kiongozi huyo ambaye pia ni Mwanasheria mkuu wa Chadema anatarajiwa katika kitabu hicho kueleza uvunjifu wa haki za binadamu na ukandamizaji wa Uhuru wa kutoa maoni.

Kiongozi huyo mwenye nyadhifa kadhaa ikiwemo mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu mkuu wa upinzani alipatwa na madhila ya kupigwa risasi hadharani mchana kweupe huku mpaka leo ikiwa hakuna yeyote aliyekamatwa kuhusika na tukio hilo.

Kitabu hicho cha Tundu Lissu kinatarajiwa kutafsiriwa kwa lugha kadhaa ili iwe rahisi kusambazwa duniani kote na kiwafikie watu wengi zaidi.
Ila kusema kitasambazwa/kununuliwa kote duniani mmmmm. Tanzania inatosha; na ndiyo iwe target kiandikwe kwa Kiswahili
 
Back
Top Bottom