Tundu Lissu mbioni kutoa kitabu

Tundu Lissu mbioni kutoa kitabu

Kesha umizwa Huyo, mdomo umeponza kichwa, acha ajifariji na kitabu, ila akumbuke pia ngawira za Lowassa alizogawana na kina Mbowe zilivyomuharibia maisha Dr Slaa.

Malipo ni hapa duniani
Kwasababu bwana ya mama ndio kafanya hivyo

Swissme
 
Uzuri siandiki uchochezi, chuki na fitina. Ninaandika kwa faida ya wote wenye mahitaji kwenye tasnia
Kujigamba kote huko unaweza ukute unaandika vitabu vya mapenzi.
 
Asije andika kwa lengo la kupotosha tu.
 
Na filamu ya jinsi walivyomfuatilia mpk kumshambulia itatolewa samba MBA na kitabu. Tangu mpango ulivyosukwa amri kutolewa mpk shambulio. Patamu hapo
 
Mwanasiasa mashuhuri zaidi Afrika Mashariki Tundu Antipas Lissu anajiandaa kuandika kitabu chake kitakachosambazwa duniani kote.

Lissu ambaye ni Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika TLS anatarajiwa kuelezea maisha yake kwa ujumla na hasa jaribio lililopangwa na kushindwa la kuondoa Uhai wake Septemba 7.

Kiongozi huyo ambaye pia ni Mwanasheria mkuu wa Chadema anatarajiwa katika kitabu hicho kueleza uvunjifu wa haki za binadamu na ukandamizaji wa Uhuru wa kutoa maoni.

Kiongozi huyo mwenye nyadhifa kadhaa ikiwemo mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu mkuu wa upinzani alipatwa na madhila ya kupigwa risasi hadharani mchana kweupe huku mpaka leo ikiwa hakuna yeyote aliyekamatwa kuhusika na tukio hilo.

Kitabu hicho cha Tundu Lissu kinatarajiwa kutafsiriwa kwa lugha kadhaa ili iwe rahisi kusambazwa duniani kote na kiwafikie watu wengi zaidi.
Kuandika katibu kuna taratibu zake, mlengwa mkuu ni publisher si mwandishi. Ukijaza matusi kitakosa soko na publisher atakikataa. Ukijaza uongo au hisia publisher atashitakiwa kwa uchochezi au kukashifu watu; hatokubali. Kitabu huuzwa na publisher na ni mali ya publisher, matusi hayatasaidia. Kama CHADEMA wanataka kuandika kitabu cha matusi kujifurahisha nafsi zao, iyabidi publisher akubali kula hasara, hatokubali.
 
Bwana fulani atatamani kisiuzwe hapa nchini.
Tena hii habari itafanya ofisi zisikalike Magogoni kwa hofu!

Walichosahau waliofanya unyama ule ni kuwa siku ya kuja duniani kwa binadamu yeyote na siku ya kuondoka anaijua Mungu peke yake!

Kwa kuwa binadamu walishajua tayari weshamaliza kazi yao ya "kumwondoa" Tundu Lissu, lakini Mungu aliwakatalia kuwa bado siku yake ya kuondoka duniani haijafika!
 
Labda aandike kuhusu maisha yake binafi. Lakini kwenye Tasnia ya Sheria hawezi, sijawahi ona andiko la Lissu zaidi ya vijarida alivyoshirikishwa na wenye uwezo wao. Hata mini ninamshinda.
Unamshinda? Acha viroja weye! Hebu badili id uweke verified name halafu uone kitakachokupata. Hakuna jiwe litakaloachwa kugeuzwa kwa kupekuliwa na wanaokufahamu. Na ndipo utakapomaizi, weye una uzito gani!
 
Tundu Lissu mwenyewe ametoa title ya hicho kitabu?Maudhui ya kitabu ndiyo yanayojenga title.Kama atapenda, atuletee hapa JF maudhui ya kitabu ili wanajf tumpe title moja saaafi!Jf imejaza wataalamu wengi wa uandishi.
 
Mwanasiasa mashuhuri zaidi Afrika Mashariki Tundu Antipas Lissu anajiandaa kuandika kitabu chake kitakachosambazwa duniani kote.

Lissu ambaye ni Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika TLS anatarajiwa kuelezea maisha yake kwa ujumla na hasa jaribio lililopangwa na kushindwa la kuondoa Uhai wake Septemba 7.

Kiongozi huyo ambaye pia ni Mwanasheria mkuu wa Chadema anatarajiwa katika kitabu hicho kueleza uvunjifu wa haki za binadamu na ukandamizaji wa Uhuru wa kutoa maoni.

Kiongozi huyo mwenye nyadhifa kadhaa ikiwemo mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu mkuu wa upinzani alipatwa na madhila ya kupigwa risasi hadharani mchana kweupe huku mpaka leo ikiwa hakuna yeyote aliyekamatwa kuhusika na tukio hilo.

Kitabu hicho cha Tundu Lissu kinatarajiwa kutafsiriwa kwa lugha kadhaa ili iwe rahisi kusambazwa duniani kote na kiwafikie watu wengi zaidi.
Watu wachache wanasoma vitabu Sikh hizi! Mwambie abuni njia nyingine ya kufikisha ujumbe huo. Na pia dunia nyingine haina interest na matatizo ya waafrika. Pia kama kitakuwa na chembe za uchochezi, kitapigwa marufuku Tanzania na nchi rafiki wetu.
 
Acha mawazo ya kukwama kabla ya kutenda.
 
Mwanasiasa mashuhuri zaidi Afrika Mashariki Tundu Antipas Lissu anajiandaa kuandika kitabu chake kitakachosambazwa duniani kote.

Lissu ambaye ni Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika TLS anatarajiwa kuelezea maisha yake kwa ujumla na hasa jaribio lililopangwa na kushindwa la kuondoa Uhai wake Septemba 7.

Kiongozi huyo ambaye pia ni Mwanasheria mkuu wa Chadema anatarajiwa katika kitabu hicho kueleza uvunjifu wa haki za binadamu na ukandamizaji wa Uhuru wa kutoa maoni.

Kiongozi huyo mwenye nyadhifa kadhaa ikiwemo mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu mkuu wa upinzani alipatwa na madhila ya kupigwa risasi hadharani mchana kweupe huku mpaka leo ikiwa hakuna yeyote aliyekamatwa kuhusika na tukio hilo.

Kitabu hicho cha Tundu Lissu kinatarajiwa kutafsiriwa kwa lugha kadhaa ili iwe rahisi kusambazwa duniani kote na kiwafikie watu wengi zaidi.
Ndio nani huyo??
 
Back
Top Bottom