Hii nayo hoja zaidi ya ujinga.You can't b a man!!!!!Mwanaume gani kila sk kusifia wanaume wenzio hata kwa ujinga tu.Immediate economic impact ya ya uwanje ule kwa kipindi hiki kigumu nnn?Km sio poor allocation of our resources?Mimi dume la mbegu na sitaki mashoga. Twende kwenye hoja.
Chato wanaishi wana wa nchi gani. Kwanini dar kuwe na airport isiwepo chato, kwanini iwepo kilimanjaro, songwe, isiwepo chato, kwanini bandari kubwa iwepo Bagamoyo karibu na ya dar, chato kusijengwe airport.
Acheni wivu na kasumba manyumbu.
Kitabu cha Lisu sitakisoma wala kushauri mtu kukisoma.
Mimi huwa natumia mbinu hii. Kama watu wakija hata kuninyanganya kila kitu, hawawezi kuingia kwenye emails zangu na ku- deleta mambo ambayo nimeya-upload huko.
Ndo maana mtoto wangu nimehakikisha hasomi kayumba schools kwa gharama yoyote. Mlaumu mzazi wako kukupa elimu za kihayawani.Kesha umizwa Huyo, mdomo umeponza kichwa, acha ajifariji na kitabu, ila akumbuke pia ngawira za Lowassa alizogawana na kina Mbowe zilivyomuharibia maisha Dr Slaa.
Malipo ni hapa duniani
Kina Kainerugaba Msemakweli waliandika kitabu Cha mafisadi, Yericko Nyerere naye ameandika...kesho utasikia Lissu amekuwa mhubiri wa kilokoleMwanasiasa mashuhuri zaidi Afrika Mashariki Tundu Antipas Lissu anajiandaa kuandika kitabu chake kitakachosambazwa duniani kote.
Lissu ambaye ni Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika TLS anatarajiwa kuelezea maisha yake kwa ujumla na hasa jaribio lililopangwa na kushindwa la kuondoa Uhai wake Septemba 7.
Kiongozi huyo ambaye pia ni Mwanasheria mkuu wa Chadema anatarajiwa katika kitabu hicho kueleza uvunjifu wa haki za binadamu na ukandamizaji wa Uhuru wa kutoa maoni.
Kiongozi huyo mwenye nyadhifa kadhaa ikiwemo mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu mkuu wa upinzani alipatwa na madhila ya kupigwa risasi hadharani mchana kweupe huku mpaka leo ikiwa hakuna yeyote aliyekamatwa kuhusika na tukio hilo.
Kitabu hicho cha Tundu Lissu kinatarajiwa kutafsiriwa kwa lugha kadhaa ili iwe rahisi kusambazwa duniani kote na kiwafikie watu wengi zaidi.
Huyu ndugu yenu anakaribia kuokoka Na kuanza mahubiri...siasa siyo uwanja wakeMkuu wangu Molemo Hata kiuzwe bei gani kinanunulika tu
Pumba tupuKesha umizwa Huyo, mdomo umeponza kichwa, acha ajifariji na kitabu, ila akumbuke pia ngawira za Lowassa alizogawana na kina Mbowe zilivyomuharibia maisha Dr Slaa.
Malipo ni hapa duniani
Unamshinda kwa lipi wakati hata mtaa wa jirani tu hawakufahamu? Labda unamzidi kwa kuramba watu miguu ili uishiLabda aandike kuhusu maisha yake binafi. Lakini kwenye Tasnia ya Sheria hawezi, sijawahi ona andiko la Lissu zaidi ya vijarida alivyoshirikishwa na wenye uwezo wao. Hata mini ninamshinda.
Thats a poor allocation of resources to you, for people in Chato and around Chato, that is the best allocation of resources.Hii nayo hoja zaidi ya ujinga.You can't b a man!!!!!Mwanaume gani kila sk kusifia wanaume wenzio hata kwa ujinga tu.Immediate economic impact ya ya uwanje ule kwa kipindi hiki kigumu nnn?Km sio poor allocation of our resources?
Huna hata Aibu...LohThats a poor allocation of resources to you, for people in Chato and around Chato, that is the best allocation of resources.
Hutaki, enda kailipue. Jiwe la msingi lishawekwa na ujenzi unaendelea msituletee ubepari wa kuconcentrate resources in same locations.
Chato napo ni Tz, na hizi hoja wala haziwaongezei marks badala yake zinawapunguzia.
Utashuhudia uchaguzi 2020
Tunakisubiri kwa hamu sana hicho kitabu.........!Mwanasiasa mashuhuri zaidi Afrika Mashariki Tundu Antipas Lissu anajiandaa kuandika kitabu chake kitakachosambazwa duniani kote.
Lissu ambaye ni Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika TLS anatarajiwa kuelezea maisha yake kwa ujumla na hasa jaribio lililopangwa na kushindwa la kuondoa Uhai wake Septemba 7.
Kiongozi huyo ambaye pia ni Mwanasheria mkuu wa Chadema anatarajiwa katika kitabu hicho kueleza uvunjifu wa haki za binadamu na ukandamizaji wa Uhuru wa kutoa maoni.
Kiongozi huyo mwenye nyadhifa kadhaa ikiwemo mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu mkuu wa upinzani alipatwa na madhila ya kupigwa risasi hadharani mchana kweupe huku mpaka leo ikiwa hakuna yeyote aliyekamatwa kuhusika na tukio hilo.
Kitabu hicho cha Tundu Lissu kinatarajiwa kutafsiriwa kwa lugha kadhaa ili iwe rahisi kusambazwa duniani kote na kiwafikie watu wengi zaidi.
Usihofu..Kitapatikana..Tunakisubiri kwa hamu sana hicho kitabu.........!