Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,616
- 1,778
Uzuri siandiki uchochezi, chuki na fitina. Ninaandika kwa faida ya wote wenye mahitaji kwenye tasnia
Nay, maandiko ya kupongeza, kutetea, kusifu na kutukuza. Kila mmoja wetu anayo haki ya kikatiba kufanya apendavyo ili mradi havunji sheria za nchi. Mahakama zipo kwa ajili hiyo. Methinks kwa hatua hii ya demokrasia tuliyofikia, kamwe haitawekana watu kuwa na mawazo yaliyofanana; mwenye kudhani tunahitaji hali hiyo ili kupata maendeleo ya haraka zaidi kwa hakika anayo matatizo makubwa sana ya kisaikolojia.