Tundu Lissu: Makazi ya Wamasai wa Sanya Station karibu na Airport ya KIA yamevunjwa, eneo lao imepewa Kampuni ya Oman Airports

"Ni kheri Slaa ashinde Urais kuliko Tundu Lissu kuingia bungeni"

Mzee Wa Msoga.
Katoka kuwa mwanasiasa na mwanasheria mpaka kuwa mchochezi.
Mwanasiasa kweli hata akiona kasoro sehemu basi haropoki kama yeye.
Tulikuonea huruma sana ulipochakazwa risasi wakati wa Magufuli lakini huenda tukafika pahala tukasema ilikuwa hukumu ya mdomo wako.
 
Go! Go! Go! Go Lissu!
Sauti ya Lissu ni sauti ya MUNGU.
Hawakutarajia kama wamasai watapata msemaji na mpaza sauti.
Tunasema Sasa basi imetosha.
Tundu Aeleze Jamii Sera za Chama Chake!

Yaani upinzani ni kuripoti vitu pety pety kama hivi?

Ongea Sera za Chama Chako kuhusu Bandari na Mambo mengine yanayohusu Uchumi na jinsi utakavyojitofautisha na Sera za CCM!

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama wamelipwa compensation kuna shida?
 
Uchochezi si kosa la jinai hapa Tanzania? Kwa hiyo mchochezi anaachwa tu azurule mtaani? Unaamanisha mamlaka za Tanzania ni dhaifu?
 
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake! Ungelijua na kuvaa viatu vya wenzetu jamii ya wamasai magumu na manyanyaso wanayopitia ungekaa kimya tu! By the way nenda kakojoe ukalale.
 
Dhulma mbaya watanzania wapate haki

Ila tundu lisu anavyotengeza hoja toka nianze kumjua kwa hili anavyozungumzia muungano juu ya Wamasai amepuyanga kishenzi
 
Watanzania wana tunaLEVEL ndogo sana ya kufikiri!Kaka nnauhakiaka hujatoka nje ya mipaka ya Tanzania!!!Maana nnauhakika hata kama huna elimu basi kutembelea walau nchi moja au mbili zinazotuzunguka ungetanua wigo wa uelewa wako!Umeandika op
 
Watanzania wana tunaLEVEL ndogo sana ya kufikiri!Kaka nnauhakiaka hujatoka nje ya mipaka ya Tanzania!!!Maana nnauhakika hata kama huna elimu basi kutembelea walau nchi moja au mbili zinazotuzunguka ungetanua wigo wa uelewa wako!Umeandika op
Kaamua kuleta fitna na tayari keshafunga virago arudi Belgium.
Safari hii paspoti yake izuiliwe mapema,Daktari wake aje kumfuata huku huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…