Tundu Lissu: Makazi ya Wamasai wa Sanya Station karibu na Airport ya KIA yamevunjwa, eneo lao imepewa Kampuni ya Oman Airports

Heparin

Senior Member
Sep 24, 2021
156
580
Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X

Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya Oman. Kauza bandari & misitu yetu; anafukuza Wamasai Ngorongoro; sasa anagawa & viwanja vya ndege. Bado mnasema 'Kazi Iendelee'?


 
Mwelezeni kibaraka akaripoti kwa mabwenyenye aliowaahidi migodi ya madini akipata uongozi kwamba haiwezekani 🐒
 
Huoni hapo ni Mbugani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…