Marashi
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,876
- 4,530
Pongezi kwako kwa kuishikisha adabu punda ya lumumbaDJ analamba ile asali katikati ya mapaja ya mamaaako
Pongezi kwako kwa kuishikisha adabu punda ya lumumbaDJ analamba ile asali katikati ya mapaja ya mamaaako
La ushoga ukaona kama Lissu anahatarisha malinda yakoMwanzo nilimwamini sana huyu mwamba ila kwenye issue ya Acacia na kutetea ushoga sina imani naye tena.
Masai wanaswaga simba kunyang'anya windo unataka utafiti gani mwingine?With all due respect, kufanya maamuzi leo 2022 kwa kutegemea tafiti zilizofanyika mwaka 1955 siamini kama ni sawa. Dunia imebadilika sana, hasa kwenye swala la hali ya hewa na tabia nchi. Ningetegemea watu tuombe ifanywe study mpya ya athari ya shughuli ndani ya hifadhi, ili kuwe na latest information. Kama hatuamini vya serikali, waombe hata UN kupitia taasisi zake, watupe majibu ya wakati huu, sio mambo ya 1950s
Ubishi hapa ni athari za shughuli za kibinadamu kwenye hifadhi. Sasa tunahitaji independent review ya kusema kama ni kweli tunaweza kuendelea na mwendo huu au tunahitaji mabadiliko.Masai wanaswaga simba kunyang'anya windo unataka utafiti gani mwingine?
Una roho na conscience iliyooza kabisa ndugu yangu! Jambo dogo hivyo unaropoka neno baya kama hili, ama wewe ndio DJ mwenyewe aliyetajwa!!DJ analamba ile asali katikati ya mapaja ya mamaaako
Kumbe mliooza conscience mko wengi Wallah. Mola tunusuru!!Asante sana kwa kumpatia jibu zuri sana huyo Lumumba.
Sasa kuna neno gani baya hapo?Una roho na conscience iliyooza kabisa ndugu yangu! Jambo dogo hivyo unaropoka neno baya kama hili, ama wewe ndio DJ mwenyewe aliyetajwa!!
Hoja ya Lisu ni hoja dhaifu, yaani tafiti zolizofanyika kabla ya mwaka 1958 ndio zinaweza ku justify Hali kwa sasa?Yanayotokea leo hii kule Ngorongoro tayari mh Lissu alisha yasema bungeni kitambo.
Sema tu ni kwakuwa alikuwa anachukuliwa poa kisa ni mpinzani lkn kama serikali ingelifuata mawazo yake na kuyafanyia kazi hili tatizo la leo lisingekuwepo.
Hakika CDM ina hazina ya viongozi wenye maono na akili kubwa sana hapa nchini.View attachment 2257618
Sijaona nondo hapo, huwezi ruhusu hicho anachosema Lisu,halina future kwa Uhifadhi ..Muda Lisu anatowa nondo kama hizi badala ya serikali kuwa makini kumsikiliza lakini bado utakuta mibunge posho ya ccm inajiandaa kumkatisha kwa taarifa au muongozo wa spika.
Ccm ni laana kwa Watanzania.
Lissu ana akili kuliko malumumba yooteHoja ya Lisu ni hoja dhaifu, yaani tafiti zolizofanyika kabla ya mwaka 1958 ndio zinaweza ku justify Hali kwa sasa?
Huwezi ruhusu hilo kwa sababu Kwa sasa demand ya nyara zitokanazo na Wanyamapori ni kubwa na hao wafugaji wanaweza tumika kufanya poaching..
Pili idadi ya wanyama inaongezeka,Mifugo inaongezeka,watu wanaongezeka sasa unaruhusu vipi Huo mchangamano na hifadhi zikabaki Salama?
Mwisho aina ya ufugaji huo WA kienyeji hauwezi kuendelea miaka yote kwa sababu hauna tija Bali una uharibifu mkubwa..
Kwamba Lisu yeye angekuwa Rais Ndio angeruhusu hilo? Hizi ni siasa za kitoto..
Na infact kuendelea kuwaachia Masai wanaongezeka ndio kutazidi ku complicate hicho anachosema Lisu lakini wakiondolewa mapema Hali hiyo haitatokea...
Masai lazima waondoke.
Akili zipi hizo? Za kuruhusu Masai kuchungia hifadhi I?Lissu ana akili kuliko malumumba yoote
Umejibu nn sasa hapoSijaona nondo hapo, huwezi ruhusu hicho anachosema Lisu,halina future kwa Uhifadhi ..
Point ya msingi ni kuwaondoa kabla hawajawa wengi.. Endeleeni kuwachekea hao Masai,kutasalia jangwa Huko.
Wewe umesoma nimejibu nini?Umejibu nn sasa hapo
Mwenyekiti wako Hayati na viongozi wenu wote wa Lumumba wanalijua hilo....Akili kubwa gani hiyo ya kuItishia nchi kuwa tutashitakiwa MIGA na Acacia?
Kidogo wewe una hoja si wale wenzako wanaotukana. Vielelezo nitaweka hapa.Mwenyekiti wako Hayati na viongozi wenu wote wa Lumumba wanalijua hilo....
Elezea hizo tuhuma zako,,, ambatanisha na Vielelezo ndio tukujibu... Huenda hata hufahamu Lissu aliongea nini..