Tundu Lissu kweli ni mtabiri mzuri

Tundu Lissu kweli ni mtabiri mzuri

Yanayotokea leo hii kule Ngorongoro tayari mh Lissu alisha yasema bungeni kitambo.

Sema tu ni kwakuwa alikuwa anachukuliwa poa kisa ni mpinzani lkn kama serikali ingelifuata mawazo yake na kuyafanyia kazi hili tatizo la leo lisingekuwepo.

Hakika CDM ina hazina ya viongozi wenye maono na akili kubwa sana hapa nchini.View attachment 2257618
Nyumbu bhana...eti mh lissu, 😂😂😂
 
Huyu mtu hajawai kuniangusha hata x1. Nakumbuka huyu ndie mtanzania pekee kati milioni 60 Alie thubutu kumkosoa DIKTETA MAGUFULI hadharani bila kuhofia maisha yake he
 
Daa Lisu aliyenifundisha hata jinsi ya kuongea mbele ya hadhara huku ukionya na kukalipia,lol!!
 
Huyu mtu hajawai kuniangusha hata x1. Nakumbuka huyu ndie mtanzania pekee kati milioni 60 Alie thubutu kumkosoa DIKTETA MAGUFULI hadharani bila kuhofia maisha yake he
Mh Lissu bado ataendelea kuwa kiongozo wa kutolea mfano maana amejaliwa kuwa kiongozi.
 
Ficha ujinga hata kwa sekunde basi,kwo ulitaka aseme mheshiwiwa Lusinde au naini yule wa kusinzia?
Hayo ndiyo masalia ya Jiwe chini ya sukuma gang.
 
Mnawaona magenius kwasbbu wanawaongoza vilaza kama nyinyi. Wenzenu sasa hivi wanalamba asali, nyinyi mnakaa kuwasifia.
Wewe tangu masiah wenu amefariki umebakia kulilia tu dadeeki na hapo bado maana ngoma ni hadi 2035.
 
Back
Top Bottom