chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,996
- 20,647
Tundu Lissu amepata fursa ya kutibiwa Ubelgiji
Ubelgiji ni eneo wanalokutana mara kwa mara viongozi wakuu wa. mataifa ya ulaya kwa vikao mbalimbali kwa kuwa Brussels ni makao makuu ya jumuiya ya ulaya,jumuiya yenye nguvu kubwa ya kiuchumi na. mfadhili mkubwa wa nchi ya Tanzania
Ni katika mji huo ndipo fitna na mipango mbalimbali husukwa na kutekelezwa
Je Lissu atashindwa kuitumia fursa hiyo kuomba kutembelewa japo na Rais wa Jumuiya hiyo na kumpa mawili matatu kuhusu hali ya demokrasia na uhuru wa kisiasa Tanzania?
Lissu atashindwa hata kukutana na Spika wa Bunge la Ulaya? Tume ya haki za binadamu ya Ulaya? au hata wabunge mbalimballi kutoka nchi za jumuiya hiyo ili awape ujumbe wakajenge hoja katika mabunge yao ili Tanzania imulikwe kimataifa na hata ikibidi iwekewe vikwazo vya usafiri kimataifa kwa, baadhi ya watu au kuzuiwa misaada?
Je hii si fursa adhimu kuijumuisha jumuiya ya kimataifa kuirudisha Tanzania katika mstari wa kidemokrasia?
Brussels na UN ni karibu sana na hata mkuu wa UN hutembelea mara kwa mara,je naye atashindwa kumuona?
Shaka Ssali atashindwa kumuhoji Tundu Lissu na kurusha kupindi kwa saa nzima kwa dunia nzima mpaka dunia ielewe?
BBC,CNN,CBN,Amnesty International,IMF,World Bank,na mengine meengi yako jirani na ubelgiji,mawaziri wakuu wa. uingereza,ujerumani pia bado wanazuru hapo,Rais wa ufaransa
what an oppurtunity! ukizingatia uwezo mkubwa alio nao wa kujenga hoja,na kama akienda na nakala za. magazeti zonazoonyesha watu wanaavyopotea na miili kuokotwa baharini,hoja yakee itanoga kabisa,anakuwa anaongea huku anaonyesha magazeti hayo na vyombo vya kimataifa vinarekodi na kwenda kurusha
ikibidi lissu aende na bango nje ya ukumbi wa bunge la jumuiya ya ulaya akiwa kwenye baskeli yake ya ugonjwa,bango hilo lielezee hali halisi ya Tanzania na aombe support ya wana demokrasia wa huko nao wabebee mabango yao,wabunge wa jumuiya ya. ulaya ambao ni wafadhili wetu wakuu wataona tu!