Tundu Lissu kuongea George Washington University USA

Aongee tu asichoke kuongea maana akiacha kuongea sijui nani ataweza kuongea.

Meanwhile huku Tz watu wanajenga barabara, madarasa, madawa hospitalini, SGR, Stieglers Gorge electricity project etc.

Maongezi ni muhimu, big up Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ni commercial break katika drama za wazungu, wao wanavurugu zao na Trumpet sasa huyu naye anawasimulia vichekesho vinavyotokea nchini kwake, they are just listening like a stand up comedy, they aint gonna do shit, keep talking, talking is good,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuwa falla tu wakati nchi yako ikiendelea kuporwa na hawa mabeberu na ukidhani tunajenga reli kumbe vitukuu vyako vitakufa kwa utapia mlo maana nchi itakuwa inatawaliwa na wale walioikopesha madeni ya kujenga reli hiyo
Hivi kwanini mnapenda sana matusi ninyi watu wa Lissu na Jiwe?
 
T
Mzungu... aisee kwenye Inshu za kumwendekeza MZUNGU Mie sijawahi kuwa muumini wa Hilo! Siasa ni Akili safi ya kuinasa mioyo ya watu wako Sio kulalamika Kwa Watu ambao Hao Ndio wameunda siraha dhaifu za Uoga hizi ambazo waafrika tunauana kama Kuku..!
Toa majibu nani aliyemchapa lisasi siyo kubwabwaja. Yaani mnamchapa lisasi halafu mumnyamazishe tena ebo! Angekufa je!
 
Mkuu audiences yake ndiyo hii hapa JF kazi kutukana na kusifia ndiyo maana hawafiki mbali. Ukiwa ma audience ya akili za kina Salary Slip na Lizabon unajidanganya sababu kazi kukusifu. Na wengine tukikosoa tunatukanwa inategemea unakosoa upande gani. Wote mabingwa wa matusi
 
Endelea kuwa falla tu wakati nchi yako ikiendelea kuporwa na hawa mabeberu na ukidhani tunajenga reli kumbe vitukuu vyako vitakufa kwa utapia mlo maana nchi itakuwa inatawaliwa na wale walioikopesha madeni ya kujenga reli hiyo
Sasa mbona unayemsifia kaenda kuripoti kwa hao mabeberu. Upo upande gani mkuu sikuelewi naona kama umechanganyikiwa. Huko kwako saa ngapi kwangu ni saa saba na dk 20
 
Huu ni ulimbukeni, ataongea kote mpaka atamaliza lakini hawezi badilisha chochote. Angalieni kinachotokea Venezuela sana sana ndicho mtakachoishia kukipata. Wazungu sana sana watawachomea nyumba zenu moto halafu za kwao wanajenga ukuta kuuzunguka ili mkose pa kukimbilia. Matatizo wanayopata wa Latin America ni kwa sababu ya siasa za magharibi lkn angalia USA wanataka kujenga ukuta ili kuzuia wanaokimbia machafuko wasiingie kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona amekuwa Vasco Dagama wa kipindi hiki.
'arudi nyumbani kumenoga!
Nyumbani kumenoga eti kwa kuwa waliompiga Risasi wamepatikana , inasemekana wameonekana kwenye cctv camera zilizofungwa pale na kufanya kazi masaa 24 , Na hatimaye wamefunguliwa mashtaka<<<<<<Na Jina la Wasiojulikana limefutwa kabisa >>>>>>
 


I should go there, anyone in Peoria Illinois contact me inbox twende kumsikiliza mtetezi wa Watanzania tangu zamani aliyekusudiwa mabaya na watesi na adui wa nchi yetu
 
Naskia ataongeaa kwa muda wa dakika 115 kisha ataokea maswali na kuyajibu. Tutapona kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…