Ndiyo kazi aliyosomea unataka afanyekazi gani.Lissu kesi zitakuua...!! Huyu wemasepetu si alikuwa anatetewa na Albert Msando..imekuwaje tena?
Kwa hiyo hilo ndio lengo la Lisu kumtetea wema?Hiyo kesi walichemka pale kwenye kufanya search/upekuzi
Hizi ni kesi muhimu kabisa kisiasa kwa kuwa zitavutia kelele kubwa sana kitaifa na kila gazeti litapenda kuripoti habari kumuhusu mnyange huyu machachari mwenye sauti nono kama nyuki wa singida
Huwa akianza kuongea tu Mimi kwa utamu wa sauti yake huwa najikuta nimesinzia.
Iam sure kurasa za mbele zitatekwa na binti huyu na kuacha lasting damage kwa chama tawala
Nasubiri tundu lissu amuhoji wema sepetu swali
Wakili: je ni kweli wewe ulikuwa kwenye timu ya kampeni ya makamu wa rais
Wema;ndio
Mengine malizia we we
Nashauri mama samia aondoe kadhia hii ya kesi za kubumba
Umeona eeh kuna mbowe taasisi, lowassa taasisi kuna hii mpya inakuja lissu taasisi na ni very aggressive Sijui kama wanajua wanachokifanyalissu ni taasisi saiv na wanaoikuza taasisi hiyo hawajui
Aisee, kwahivyo hicho ulichoandika ndio kitawapa urais 2020,?Nashauri mkuu aendelee kupiga marufuku mikutano ya kisiasa,kwa kuwa sasa siasa zinafanyika kupitia serikali yenyewe.
Kuna joto Kali katika ofisi za umma baada ya serikali kuanza kuwakata asilimia 15 za bodi ya mikopo,hapa tayari mijadala(sema mikutano ya kisiasa)inafanyika ofisini
Kesi ya wema sepetu,mijadala mikali inaendelea miongoni mwaka wasanii na wapambe wa mnyange huyu,hii ni mikutano ya kisiasa tosha.
Kesi ya mbowe....ni mikutano ya kisiasa tosha.
Kufuta chama cha wanasheria....ni mkutano wa kisiasa tosha kabisaaaaa
Kesi ya manji....ni mkutano wa kisiasa tosha kwa jamii ya wanayanga
Kesi ya lema....lijualikali
Mengine malizia
Unajua hata mjinga ana kiongozi wake,Wema hawezi kosa mashabiki wake kisiasa hata wakiwa wawili au watatu,,,tunacholinda ni kugawa kurasasa wema atamsumbua nani.
hata baloz wa mtaa hamjui
Baadae kuna kesi ya madai 'character assassination'Kesi ya wema ni nyepesi sna ule msokoto unaweza kuwageukia wakaguzi kama wakwao hawakujipanga ktk operation zao wakili kishachungulia shimo acha apige pesa ndo mana serikali inasita kwa kusingizia upelelezi bado haujakamilika hakuna kes hapo.
Kama ilivyokuwa kwa Lowassa baada ya kuja Chadema na kundi la wabunge 100 ama siyo?Ni fursa ya kuwavuta wema na kundi lake
Unajua hata mjinga ana kiongozi wake,Wema hawezi kosa mashabiki wake kisiasa hata wakiwa wawili au watatu,,,tunacholinda ni kugawa kura
Hakuna kitu kibaya kama mapenzi binafsi watu wako radhi kuonekana wajinga kwa ajili ya wale wanaowapenda unaweza kunitajia jopo la mawakili wa Lema Lissu yupo? hv siku zote kweye vita ngumu si ndo unatumia silaha yako kali na yenye nguvu ? Lissu si ndo Kng pin wa sheria Chadema mbona hayupo anakwenda kutetea kwenye kesi ya msokoto mmoja wa bangi!!!!Kama hujawahi kumsikia akiongelea suala la Lema basi tulia usituletee umbumbu wako. Sisi Wana ARUSHA alishaongea na press aliifanyia ARUSHA mara baada ya kutoka kumtembelea kamanda Lema gerezani wakiwa na mwenyekiti Mbowe. Na tunajua jinsi anavyojitahidi kushughulikia hilo suala.
upelelezi hauja kamilikaUpelelezi wa nn wakati walisema amekutwa na msokoto?
Kweli kabisaaa,,,kesi ni ushadihi,na ushahidi kamili.Kesi ya wema ni nyepesi sna ule msokoto unaweza kuwageukia wakaguzi kama wakwao hawakujipanga ktk operation zao wakili kishachungulia shimo acha apige pesa ndo mana serikali inasita kwa kusingizia upelelezi bado haujakamilika hakuna kes hapo.
Mh! Mwambie Kibatala na Malya wakamtetee RC ndio utajua Wakili hana Chama au la.Wakuu, Wakili hana chama
Yeye alibaki selo wao walienda kwake kukagua utakuwa na uhakika gani kama cha kwake mkuu ? je kama wakaguzi walikuwa wamebeba ili kumchoma hapo nani wa kumuamini? Makonda mkurupufu.Upelelezi wa nn wakati walisema amekutwa na msokoto?