Tundu Lissu kumtetea Wema Sepetu

Tundu Lissu kumtetea Wema Sepetu

Hebu tumuulizeeni WEMA SEPENGA,,,je WEMA ulionyesha nia ya kutaka nafasi za uteuzi zilizobaki??????? Kama jibu ni ndio basi hii vita ilimlenga kumuharibia
 
Tundu lissu anawatetea wapiga kampeni wa ccm, OK labda kwa kuwa ni mtanzania mwenzetu
Usiogope,ni mbinu ya Lissu kumvunja nguvu ki aina katika usumbufu wa kisiasa.
Kumjengea nidhamu ya woga kwa kumtetea,na kumjua zaidi.

PIA ikibidi kumleta CHADEMA ili asitusumbue baadae
 
tutasikia anataka kumtetea na manji pia.
tuna kesi za msingi zinatushinda.
hizi kesi ni nyepesi hata mimi nikipewa nashinda.
 
daa hii inaboa.
unaokoa vitu vya mwenzio wakati vyako vinaungua.
kwan wakili yuko peke yake si awaachie wengine hiyo.
anyway utasikia na manji anataka amteteee

Ndugu mpaka muda huu nimebaki kinywa wazi....kwa habari hii....na akili yangu imegoma kufikiria kabisa.....

Lakini nimejifunza kitu.....
 
Usiogope,ni mbinu ya Lissu kumvunja nguvu ki aina katika usumbufu wa kisiasa.
Kumjengea nidhamu ya woga kwa kumtetea,na kumjua zaidi.

PIA ikibidi kumleta CHADEMA ili asitusumbue baadae

sasa wema atamsumbua nani.
hata baloz wa mtaa hamjui
 
duh!
kwlei JF sikuhiz imejaa VIAZI na VICHWA NAZI.

yani hamuoni kabisa impact ya hiyo kesi kwenye Jamaii kisiasa ?
Mnajua akisha shind ahiyo kesi kw avyovyote ya Madi inakuja?
na si manjua nani atadaiwa? nakwa vyovyote anaweza kudaiwa shilingi moja issu ni heshima tu.
 
Namshauri lissu alegeze kamba ili ashindwe huyu dada atumikie kifungo cha miaka 5 gerezan iwe fundisho kwa wasanii wachumia tumbo
 
Kuna kipindi Wema aliwai kusema,atatumia uwezo alionao kuhakikisha Tundu Antipus Lisu haingii bungeni.Nadhani leo Lisu kaamua kumjibu kwa vitendo km yeye ni nani
 
Napata wasiwasi sana na watu wanaosema Lissu ni Mwanasheria bora sasa najiuliza kitu bora kina machaguo? ni sawa useme jembe langu ni bora then hapo hapo unalichagulia shamba la kulima

Sidhani kama wema anathamani kama Lema ndani ya Chadema ukizingatia Lissu ni mwanasheria wa Chama lakini sijawai kumsikia Lissu hata kuongelea kesi ya Lema

Lissu hana tofauti na zile shule zinazochagua wanafunzi wenye akili tu ktk interview zao then wanajiita shule bora kwa kuwa wanafunzi wote wamepata daraja la kwanza na la pili katika mitihani ya kitaifa lakini wameshindwa kujua tayali wanafunzi wale walikuwa na 50% kichwani so walichoongezea wao ni kama 20-24% tu

Unajua mtu aliyezoea kusifiwa akili yake inakuwa imejenga picha ya kujiona ni bora zaidi ya wenzie sasa siku wanaomsifia wakianza kupunguza kumsifia anajikuta anatafuta kitu chochote tu hata cha ajabu tu ili bado aendelee kuwa kwenye macho au masikio ya watu

Lissu alikuwa anasifiwa sana kwa weledi wake wa kujua sheria na vifungu Bungeni sasa nadhani watu wameshazoea anavyovifanya sasa inabidi atafute kitu kingine nje ya weledi wake Bungeni mpaka mitaani sasa na kudeal na vitu vidogo sidhani wajihi au heshima ya Lissu anaweza kujiingiza kwenye kesi ya kumtetea wema kesi ambayo hata vijana waliotoka chuo juzi wanaweza kushinda
Kama hujawahi kumsikia akiongelea suala la Lema basi tulia usituletee umbumbu wako. Sisi Wana ARUSHA alishaongea na press aliifanyia ARUSHA mara baada ya kutoka kumtembelea kamanda Lema gerezani wakiwa na mwenyekiti Mbowe. Na tunajua jinsi anavyojitahidi kushughulikia hilo suala.
 
duh!
kwlei JF sikuhiz imejaa VIAZI na VICHWA NAZI.

yani hamuoni kabisa impact ya hiyo kesi kwenye Jamaii kisiasa ?
Mnajua akisha shind ahiyo kesi kw avyovyote ya Madi inakuja?
na si manjua nani atadaiwa? nakwa vyovyote anaweza kudaiwa shilingi moja issu ni heshima tu.

usiite wenzio viazi.
wakati ww kichwa maji.
impact zipo nyingi tofauti na hiyo yako unayoifikilia. zipo nzur na mbaya. mbaya ni nyingi zaid.
 
Hivi vita hii ni kuwa tafuta ma drug dealers au petty addicts? Hayo ndo makusudi kweli au ni janja ya kutaka kutusahaulisha benny?
Kweli mkuu maana hili la ben sasa wanafanya kijisahaulisha na halina thamani tena
 
e7e887d7c278a1de4990e102c553050b.jpg
 
Napata wasiwasi sana na watu wanaosema Lissu ni Mwanasheria bora sasa najiuliza kitu bora kina machaguo? ni sawa useme jembe langu ni bora then hapo hapo unalichagulia shamba la kulima

Sidhani kama wema anathamani kama Lema ndani ya Chadema ukizingatia Lissu ni mwanasheria wa Chama lakini sijawai kumsikia Lissu hata kuongelea kesi ya Lema

Lissu hana tofauti na zile shule zinazochagua wanafunzi wenye akili tu ktk interview zao then wanajiita shule bora kwa kuwa wanafunzi wote wamepata daraja la kwanza na la pili katika mitihani ya kitaifa lakini wameshindwa kujua tayali wanafunzi wale walikuwa na 50% kichwani so walichoongezea wao ni kama 20-24% tu

Unajua mtu aliyezoea kusifiwa akili yake inakuwa imejenga picha ya kujiona ni bora zaidi ya wenzie sasa siku wanaomsifia wakianza kupunguza kumsifia anajikuta anatafuta kitu chochote tu hata cha ajabu tu ili bado aendelee kuwa kwenye macho au masikio ya watu

Lissu alikuwa anasifiwa sana kwa weledi wake wa kujua sheria na vifungu Bungeni sasa nadhani watu wameshazoea anavyovifanya sasa inabidi atafute kitu kingine nje ya weledi wake Bungeni mpaka mitaani sasa na kudeal na vitu vidogo sidhani wajihi au heshima ya Lissu anaweza kujiingiza kwenye kesi ya kumtetea wema kesi ambayo hata vijana waliotoka chuo juzi wanaweza kushinda
Usilolijua ni sawa na giza nene kesi ya Lema ujaijua ivyo kaa kimya
 
Back
Top Bottom