Tundu Lissu is a great politician

Tundu Lissu is a great politician

Tundu lissu anafanana sana na aliyekuwa rais wa marekan kiakil bwana Roosevelt
 
Haaaah sikio la kufa .....

Kuna muda utafika itakuwa kama Amini Dada ......

Kuwafokea hatharani hata walinzi wake.......

Dhambi ya kula rambi rambi hakika itawatafuna........
Hv Ile lambilambi ililiwa?.....ama inaboresha huduma za kijamii Bukoba
 
Mh Tundu utamlinganisha na nani mwingine? Si muoga,anatetea anachokiamini ni sahihi! Kaza buti kaka safari ndio kwanza imeanza
Akifuata ushauri wako ajitayarishe kujiunga Na Lema lupango !
 
Huyu mh.sio tu jasiri na alieamua kujtoa mhanga bali ni mwanasiasa mwenye foresight.

Nakumbuka alituonya kuwa tunapoona vyama vya siasa na wanasiasa wanabanwa,basi na sisi wengine tusidhani tuko salama.

Leo hii ikiwa ni miezi kadhaa tangu Lissu atuonye kila mtu ni shuhuda wa namna kila mmoja wetu anavyoisoma namba.

Leo hii naona baadhi ya vyama vyama vya wafanyakazi vinaanza kutoa matamko,waandishi nao wanaanza kuungana na kutoa matamko ,n.k.Huu ni mwanzo tu wa kutimia kwa maneno ya Tundu Lissu.

Wakati anaongea baadhi walimbeza,baadhi walimuona ana wivu,baadhi walimuona si mzalendo,baadhi walimuona anafanya siasa na baadhi walimdharau na kumpuuza ila nina hakika wengi leo hii wanakubali maneno yake japo hawana ujasiri wa kukiri hadharani lakini wanakiri ndani ya nafsi zao.

Kweli muda kiboko yao.

Sisi wengine si wanafiki tutakusifu angali uhai.
Lissu sio mwanasiasa ni mwanaharakati mchumia tumbo na mwanasheria kanjanja.
Mwanasiasa makini hawezi kunyamazia ukiukwaji wa katiba ya chadema unaofanywa na Mbowe.
Mwanasheria makini,hawezi kutunga katiba inayokataza,wanachama kwenda mahakamani na kufuta ukomo wa kuongoza,je chama kikishika dola itakuaje
 
Ungejua jinsi neno Politician lilivyokuwa ni neno negative wala usingelitumia kama kweli ulikuwa na nia ya kumsifia Tundu Lisu, lkn kama ulikuwa na nia ya kusema ukweli basi uko sawa kwamba Tundu Lisu ni Muongo, less intelligent na Fisadi hiyo ndo sifa ya Politician Dunia nzima!

Hakuna Kiongozi intelligent Dunia hii anayependa kuitwa Politician, na ndiyo maana Viongozi wote intelligent Duniani husema ,,I'm not a politician" au ,,Iam not a good politician" unajua kwa nini husema hivyo? Maana yake ni kwamba wao siyo waongo, wajinga na Wapumbavu, hizo ndiyo sifa za politician!

Kwa kifupi Politician yuko kwenye scale ya watu wanaothaminiwa na jamii yuko chini kabisa!
Leo hii Nape kesho itakuwa zamu yako.
 
Back
Top Bottom