Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Huyu mh.sio tu jasiri na alieamua kujtoa mhanga bali ni mwanasiasa mwenye foresight.
Nakumbuka alituonya kuwa tunapoona vyama vya siasa na wanasiasa wanabanwa,basi na sisi wengine tusidhani tuko salama.
Leo hii ikiwa ni miezi kadhaa tangu Lissu atuonye kila mtu ni shuhuda wa namna kila mmoja wetu anavyoisoma namba.
Leo hii naona baadhi ya vyama vyama vya wafanyakazi vinaanza kutoa matamko,waandishi nao wanaanza kuungana na kutoa matamko ,n.k.Huu ni mwanzo tu wa kutimia kwa maneno ya Tundu Lissu.
Wakati anaongea baadhi walimbeza,baadhi walimuona ana wivu,baadhi walimuona si mzalendo,baadhi walimuona anafanya siasa na baadhi walimdharau na kumpuuza ila nina hakika wengi leo hii wanakubali maneno yake japo hawana ujasiri wa kukiri hadharani lakini wanakiri ndani ya nafsi zao.
Kweli muda kiboko yao.
Sisi wengine si wanafiki tutakusifu angali uhai.