Ungejua jinsi neno Politician lilivyokuwa ni neno negative wala usingelitumia kama kweli ulikuwa na nia ya kumsifia Tundu Lisu, lkn kama ulikuwa na nia ya kusema ukweli basi uko sawa kwamba Tundu Lisu ni Muongo, less intelligent na Fisadi hiyo ndo sifa ya Politician Dunia nzima!
Hakuna Kiongozi intelligent Dunia hii anayependa kuitwa Politician, na ndiyo maana Viongozi wote intelligent Duniani husema ,,I'm not a politician" au ,,Iam not a good politician" unajua kwa nini husema hivyo? Maana yake ni kwamba wao siyo waongo, wajinga na Wapumbavu, hizo ndiyo sifa za politician!
Kwa kifupi Politician yuko kwenye scale ya watu wanaothaminiwa na jamii yuko chini kabisa!