citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,591
- 781
Oh ndugu umenena
Kwani ni lini wahisani waliacha kuitwa mabeberu? Au hujui maana ya neno mabeberu kwa kiingereza?Ina uhusiano...kwa awamu hii mara ngapi tumeshuhudia hawa wahisani wakiitwa mabebetu kwa awamu hii je ni sawa na awamu zilizopita?
Cha kustaajabisha ni pale tu wanapowakodoa mfano uchafuzi mkuu ule ...
Nawe asante kwa kuchangia katika mada yangu!Asante kwa uchambuzi mzuri, atasubiri sana. Uchaguzi umekwisha, sote tushirikiane kujenga Nchi yetu!
Mlimteka, au?!Mkuu;
Huyo Mshana Jr alijiapiza katika mada zake nyingi kuwa Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania 2020 ije mvua, liwake jua! Baada ya Uchaguzi Mkuu akapotea mazima!
Vipi? Mbona unacheka?😁😁😁😁
Hata mzaha hujibiwa ili aliyeandika ajitambue kuwa amechokianfika ni mzaha na apate mrejesho kuwa watu wanamuona ni mtu wa mzaha.Mkuu;
Yaani na wewe unajibu ''mizaha'' ninayoandika!
Mungu yupo kwa kila mtu sio kwa wenye subira pekee labda kama hujui kuwa Mungu aliumba binadamu wote!
Uonevu kutamalaki ni dhana tu kulingana na upeo wako!
Yaani kwa sasa kila anayeonekana kushirikiana na serikali anamtolea povu zito?Acha wamsahau kabisa!
Na Tundu ukifatilia maongezi yake ya juzi anaonekana mwenye jazba, eti mapolisi na maccm jamaa anahangaika sana huko aliko
hizo hoja ni ngumu mno kutekelezeka,maana hata huyo lissu si wa kwanza kulipigia kelele na kutafuta suluhu akiwa inchini.Hoja za ''Tume Huru ya Uchaguzi'' zinazungumzika nchini lakini njia aliyotumia ya kutegemea wazungu haiwezi kufanikisha adhma yake!
Nashukuru ndugu kwa mchango wako wa hoja!Oh ndugu umenena
Tundu Lissu hakujua siasa za sasa za wazungu!Lisu ni loser,
Usiweke neno ''watu'' katika mwamvuli wa fikra zako!Hata mzaha hujibiwa ili aliyeandika ajitambue kuwa amechokianfika ni mzaha na apate mrejesho kuwa watu wanamuona ni mtu wa mzaha.
Nadhani hujui kuwa kwenye bunge la katiba kulikuwa na suala la ''Tune Huru ya Uchaguzi'' lakini upande mwingine ukatoka nje kwa sababu tu ya hoja ya serikali tatu!hizo hoja ni ngumu mno kutekelezeka,maana hata huyo lissu si wa kwanza kulipigia kelele na kutafuta suluhu akiwa inchini.
tangu enzi za kina Dr.slaa walishajadili hayo na wakashindwa.
hvyo kwa lissu kwenda huko ugenn ni sahihi kwa sababu nyumban alishashindwa
Hata makanisa na misikiti kila siku inafunguliwa kwa sababu ''shetani'' anawatesa ingawa ameshindwa na Mungu!Kivuli cha Lissu bado kinakutesa,kutwa kuandika magazeti kumhusu japo mlishashinda uchafuzi.
Enda kwenye hoja achana na bakuli, kwani wewe ukipewa pesa hupokei?Hao wazungu wakiwakosoa tena mnawaita mabeberu ila bakuli mnapokea!
Tunasubiri tuone Rais Magufuli akifikishwa kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu(ICC)!Matamko yote waliyotoa wazungu kusisitiza utawala bora na kukemea uminywaji wa demokrasia nchini sio ya bahati mbaya, usijidanganye, wanawaonya kweli na msiposikia mtakiona cha mtema kuni.
Mpaka sasa kuna misaada mingi serikali imenyimwa au imepunguzwa toka kwa wazungu na Marekani, zaidi juzi tu Makonda kapigwa stop kwenda Marekani.
Wacha kujiaminisha uongo eti wazungu na marekani wanamuogopa mchina, unataka kusema tukigomewa na hao wawili tunaweza kufanya biashara na mchina na tukapata sawa na kile ambacho tungeweza kupata toka kwa wazungu na wamarekani? wacha kujidanganya.
Mchina peke yake hawezi kufanya biashara na mataifa yote duniani kwa kiwango sawa, lazima wapo watakaopata zaidi na watakaopata kidogo.
Zaidi hata huyo mchina mwenyewe mara nyingi anatupa mikopo ambayo mbeleni lazima tuilipe, sasa sijui unampendea nini.