Tundu Lissu hajui alipata kura ngapi uchaguzi uliopita hii sasa ni AIBU!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Mgombea Urais alikiri hajui alipata kura ngapi uchaguzi uliopita kwa utetezi ya kuwa hata Tume ya uchaguzi haijabamdika matokeo ya kila jimbo kwenye tovuti yao kama sheria za uchaguzi zinavyosema.

Tunasema hii inashangaza tukizingatia baada ya uchaguzi alikuwa mstari wa mbele kutuhimiza tuandamane kupinga matokeo ya uchaguzi wa 2020 wakati yeye mwenyewe hakuwa na takwimu zozote za kumfanya akhoji uhalali wa matangazo yaliyotangazwa.

Alipaswa yeye na chama chake wawe na utaratibu wa kukusanya matokeo na fomu zake kila kituo na kufanya majumuisho yake ili kuwa na takwimu za kuwaongoza kwenye maamuzi yao.

Mkuu yote tuliyosema 2020 ina maana hukuelewa ?
 
Kumbe kuna wahaya mazuzu kama wewe
 
Hivi inakutosha kweli wewe kibudu? Uchaguzi iliochezewa vile tena waziwazi kwa kura za kwenye mabegi unaweza kujua kura halisi?
 
Mgombea Urais alikiri hajui alipata kura ngapi uchaguzi uliopita kwa utetezi ya kuwa hata Tume ya uchaguzi haijabamdika matokeo ya kila jimbo kwenye tovuti yao kama sheria za uchaguzi zinavyosema.

Tunasema hii inashangaza tukizingatia baada ya uchaguzi alikuwa mstari wa mbele kutuhimiza tuandamane kupinga matokeo ya uchaguzi wa 2020 wakati yeye mwenyewe hakuwa na takwimu zozote za kumfanya akhoji uhalali wa matangazo yaliyotangazwa.

Alipaswa yeye na chama chake wawe na utaratibu wa kukusanya matokeo na fomu zake kila kituo na kufanya majumuisho yake ili kuwa na takwimu za kuwaongoza kwenye maamuzi yao.

Tundu Lissu anawapeni kipindi kigumu sana, poleni
 
Mbona hata Mrema baada ya kumbwaga Mkapa uchaguzi ukafutwa wakarudia wao japo haukuisha Mkapa akapewa ushindi bila kujulikana idadi ya kura, unashangaa nini? Atajuaje idadi ya kura kama hatukutangaziwa nchi nzima zaidi ya kutangaziwa washindi hewa.
 
Mgombea Urais alikiri hajui alipata kura ngapi uchaguzi uliopita kwa utetezi ya kuwa hata Tume ya uchaguzi haijabamdika matokeo ya kila jimbo kwenye tovuti yao kama sheria za uchaguzi zinavyosema.

Tunasema hii inashangaza tukizingatia baada ya uchaguzi alikuwa mstari wa mbele kutuhimiza tuandamane kupinga matokeo ya uchaguzi wa 2020 wakati yeye mwenyewe hakuwa na takwimu zozote za kumfanya akhoji uhalali wa matangazo yaliyotangazwa.

Alipaswa yeye na chama chake wawe na utaratibu wa kukusanya matokeo na fomu zake kila kituo na kufanya majumuisho yake ili kuwa na takwimu za kuwaongoza kwenye maamuzi yao.

ATAJUAJE WAKATI HAKUKUWA NA UCHAGUZI? NA KAMA ULIKUWEPO MAGUFULI NDIO ALIKUWA CALCULATOR
 
Mgombea Urais alikiri hajui alipata kura ngapi uchaguzi uliopita kwa utetezi ya kuwa hata Tume ya uchaguzi haijabamdika matokeo ya kila jimbo kwenye tovuti yao kama sheria za uchaguzi zinavyosema.

Tunasema hii inashangaza tukizingatia baada ya uchaguzi alikuwa mstari wa mbele kutuhimiza tuandamane kupinga matokeo ya uchaguzi wa 2020 wakati yeye mwenyewe hakuwa na takwimu zozote za kumfanya akhoji uhalali wa matangazo yaliyotangazwa.

Alipaswa yeye na chama chake wawe na utaratibu wa kukusanya matokeo na fomu zake kila kituo na kufanya majumuisho yake ili kuwa na takwimu za kuwaongo
Tuko huku vijiji tunangoja ccm watupe elimu watuambie uzuri wa mkataba wa uwekezaji wa bandari kifungu kwa kifungu sijui mekutana huko?

Nawapongeza Chadema wametuelimisha ubaya wa mkataba huu kifungu kwakifungu.Alisikika babu moja akiuliza.
 
Mgombea Urais alikiri hajui alipata kura ngapi uchaguzi uliopita kwa utetezi ya kuwa hata Tume ya uchaguzi haijabamdika matokeo ya kila jimbo kwenye tovuti yao kama sheria za uchaguzi zinavyosema.

Tunasema hii inashangaza tukizingatia baada ya uchaguzi alikuwa mstari wa mbele kutuhimiza tuandamane kupinga matokeo ya uchaguzi wa 2020 wakati yeye mwenyewe hakuwa na takwimu zozote za kumfanya akhoji uhalali wa matangazo yaliyotangazwa.

Alipaswa yeye na chama chake wawe na utaratibu wa kukusanya matokeo na fomu zake kila kituo na kufanya majumuisho yake ili kuwa na takwimu za kuwaongoza kwenye maamuzi yao.

Wewe bwana unakuwaga kama umekatwa kichwa hivi.

Wangeweza vipi kukusanya matokeo wakati nusu ya mawakala wao walikataliwa kuingia vituoni ?

Waliokuwa vituoni baada ya zoezi la kupiga kura walifukuzwa na wengine kujeruhiwa kwa silaha.

Muwe mnatumia akili zenu sawa sawa wakati mwingine.

Huu ujinga wako futa.
 
Mgombea Urais alikiri hajui alipata kura ngapi uchaguzi uliopita kwa utetezi ya kuwa hata Tume ya uchaguzi haijabamdika matokeo ya kila jimbo kwenye tovuti yao kama sheria za uchaguzi zinavyosema.

Tunasema hii inashangaza tukizingatia baada ya uchaguzi alikuwa mstari wa mbele kutuhimiza tuandamane kupinga matokeo ya uchaguzi wa 2020 wakati yeye mwenyewe hakuwa na takwimu zozote za kumfanya akhoji uhalali wa matangazo yaliyotangazwa.

Alipaswa yeye na chama chake wawe na utaratibu wa kukusanya matokeo na fomu zake kila kituo na kufanya majumuisho yake ili kuwa na takwimu za kuwaongoza kwenye maamuzi yao.

Sio Lissu tu hata JPM hakuna sehemu Kuna matokeo ya Kila kituo yamewekwa kwenye rekodi za NEC sababu waliona kura hazi tally.

Kingine 70% ya mawakala wa Chadema waliondolewa wakati wa kuhesabu au kutangaza matokeo Sasa hiyo fomu waitoe wapi?

Ule uchaguzi ulikua uhuni tu mfano kata yetu hakukua na uchaguzi maana diwani na mbunge walipita bila kupinga ila wapinzani wote waliambiwa hawana vigezo!! So hakukua na kampeni tumekuja kushtuka eti kata yetu turnout ya wapiga kura ni 100%!! Yaani hakuna hata mmoja ambaye hakupiga kura na kwamba zote ni za JPM!! Aiseee Mungu akaona "hapana inatosha"
 
Back
Top Bottom