Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

Yaani huku kwetu leo vijana wamegawanyika hasa wasomi!huku mitaani watu wamemwelewa sana Dkt Slaa tofauti na makamanda wanavyotuaminisha humu ndani

wasomi hawa hawa aina ya docta bana?,wanao hangaika mitaani na bahasha za kaki kutafuta ajira? au wale wanao sotea mkopo toka loan board?.
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late

Iambie familia yako na ukoo wako si humu mkuu. Wewe na Dr wote ni ccm so sikushangai ukisema et watanzania huoni hata aibuu!!? Tunahitaji mabadiliko tuu
 
Wakati Lowassa haijaingia CHADEMA na Dr magufuli Slaa na CHADEMA walisema tatizo si mtu bali mfumo mzima wa CCM.

Sasa leo Lowassa yupo chadema kwenye mfumo mzuri alioutengeneza Dr Slaa, basi Lowassa amefanya CHADEMA Iwe na sura mbaya kuliko CCM.

Sasa tukuelewe lipi Dr, kama Mtu mzuri hawezi kusafisha mfumo iweje mtu mbaya aweza kuchafua mfumo?
 
TUNDU LISSU HUWA HADANGANYI,kwahiyo tunamwamini zaidi Lissu na sio aliyehongwa na kulipiwa hata mahali pa conference.
 
Yaani huku kwetu leo vijana wamegawanyika hasa wasomi!huku mitaani watu wamemwelewa sana Dkt Slaa tofauti na makamanda wanavyotuaminisha humu ndani

Acha uongo wewe sasa alichoongea dr slaa kina upya gani?mimi sijaona kipya alichozungumza zaidi ya kum attack ENL personally ,it was purely personal issue between dr and ENL ,na hiyo speech ya dr watu hata hawajamuelewa,what was the motive behind?kwa sababu kama ishu ni ENL kuja CDM ok fine yeye si anasema ENL ni fisadi basi angetumia ueledi wake na kipaji chake kumrekebisha sasa kukimbia maana yake nini?hata sisi wa kristo tunaamini kuwa YESU alikuja duniani kwa ajili ya wenye dhambi,sasa huyo anayewaona wenzake wachafu yeye ana usafi gani?Katika maisha hamna kitu kibaya kama kufeli maisha ni bora ufeli mitihani,uwe maskini lakini usiombee kufeli maisha.
 
Sikuwa najua kumbe lijamaa siku zote likiwa linatoa mapovu jukwani lilikuwa linataka tu kuingia Ikulu. Tena Mungu kanusuru maana hawa ndio wale Nyerere alisema " Hatutaki Rais anaye kwenda kwa mkewe akiamka asubuhi tuna kuta mabadiriko" Hii ni Laana tu. Huyu mzee hata akipotelea jangwani kwenye mchanga ni sawa tu.

Ndio huyu sasa anatuambia habari za mchumba wake (sio mke)...MSIMAMO ULE ULE-KURA KWA LOWASSA.
 
Leo ndio nimeamini Tundu Lissu ni muongo wa kutupa kabisa sijui ni kitu gani kimemfanya huyu mtu kubadili tabia, sikuwahi kukubaliana na hoja zake walau nilimueshimu kwa principles ya kile anachoamini na kusimamia. Lakini hii reaction yake ya leo imemfanya kuwa katika kundi la wanasaisa waliokosa ata iota of morals.
 
Kwa hiyo kama Lowasa ni jizi na alikuwa ccm anaeonekana ni Lowasa tu mbn ameokoka tangu alipokuja Upinzani? Kawaacha waizi wengi tu huko.

WEZI WAKUBWA WA MALI ZETU WAPO CCM,LOWASSA ALIWAACHA HUKO ila ccm wanalindana.
 
LOWASSA NDIYE RAIS WETU 2015-2020,Watanzania tunampenda na tutampa kura zetu.
 
Back
Top Bottom