Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

Ulishiriki kumsaliti Mzee Slaa,kwa kuungana na wenye tamaa kina Mbowe, mkanunuliwa na Lowassa ili mumpe nafasi ya kugombea Urais,mkamtupa kapuni mzee Slaa ambaye alishiriki kukipa umaarufu na ndiye alikuwa chachu kwa CHADEMA kuwa chama chenye nguvu,halafu leo unataka uchaguliwe Urais mtu usiye na msimamo, mwenye tamaa na uroho wa madaraka. Kuna kila dalili utauza nchi, wenye akili hatukupi kura ng'o.

Kwanza chunguza utagundua hivi sasa umebaki peke yako, walafi wenzio kina Mbowe wapo kimya wanakuangalia kama cenema.

Dhambi ya usaliti itaendelea kukutafuna.
Slaa anatakiwa kuja kuomba msamaha kwa usaliti ule.
 
Vipi polepole aliyetusaliti kwenye katiba ya wanachi sasa hataki kuyasikia aliyoyasema je naye tumuweke kundi lipi?
 
Ulishiriki kumsaliti Mzee Slaa,kwa kuungana na wenye tamaa kina Mbowe, mkanunuliwa na Lowassa ili mumpe nafasi ya kugombea Urais,mkamtupa kapuni mzee Slaa ambaye alishiriki kukipa umaarufu na ndiye alikuwa chachu kwa CHADEMA kuwa chama chenye nguvu,halafu leo unataka uchaguliwe Urais mtu usiye na msimamo, mwenye tamaa na uroho wa madaraka. Kuna kila dalili utauza nchi, wenye akili hatukupi kura ng'o.

Kwanza chunguza utagundua hivi sasa umebaki peke yako, walafi wenzio kina Mbowe wapo kimya wanakuangalia kama cenema.

Dhambi ya usaliti itaendelea kukutafuna.
Slaa anasalitiwa na hawara yake,
Ccm walimdanganya aende Canada watampa Tshs 3bil. Akatamba mpaka kutujengea shule, matokeo yake lumba likawachapa Babu ikabidi aombe kazi ya ushopkeeper
 
Ni kama nyie mlivyoshindwa kumlleta dereva wake ahojiwe kuhusu lile tukio la kutengenezwa pale Dodoma.Mmezoea Kutengeneza filamu.Ile ya Mbowe kupigwa mmeuza sh ngapi au mmepata viewer wangapi
Kwahiyo cctv camera walinzi waliondoshwa ni chadema ili apigwe risasi?
 
Ulishiriki kumsaliti Mzee Slaa,kwa kuungana na wenye tamaa kina Mbowe, mkanunuliwa na Lowassa ili mumpe nafasi ya kugombea Urais,mkamtupa kapuni mzee Slaa ambaye alishiriki kukipa umaarufu na ndiye alikuwa chachu kwa CHADEMA kuwa chama chenye nguvu,halafu leo unataka uchaguliwe Urais mtu usiye na msimamo, mwenye tamaa na uroho wa madaraka. Kuna kila dalili utauza nchi, wenye akili hatukupi kura ng'o.

Kwanza chunguza utagundua hivi sasa umebaki peke yako, walafi wenzio kina Mbowe wapo kimya wanakuangalia kama cenema.

Dhambi ya usaliti itaendelea kukutafuna.
Mtatumwa sana. Waliokutangulia hawajakupa mrejesho? Huwezi kujipaka kinyesi ukapita katikati ya watu wakakuvumilia, watakutoa baruti.
 
Ulishiriki kumsaliti Mzee Slaa,kwa kuungana na wenye tamaa kina Mbowe, mkanunuliwa na Lowassa ili mumpe nafasi ya kugombea Urais,mkamtupa kapuni mzee Slaa ambaye alishiriki kukipa umaarufu na ndiye alikuwa chachu kwa CHADEMA kuwa chama chenye nguvu,halafu leo unataka uchaguliwe Urais mtu usiye na msimamo, mwenye tamaa na uroho wa madaraka. Kuna kila dalili utauza nchi, wenye akili hatukupi kura ng'o.

Kwanza chunguza utagundua hivi sasa umebaki peke yako, walafi wenzio kina Mbowe wapo kimya wanakuangalia kama cenema.

Dhambi ya usaliti itaendelea kukutafuna.
Hizo ndio sera zenu CCM? Kwa kweli mnatia huruma sana.
 
JPM anawanyoosha wote waliokuwa wanakula keki ya taifa peke yao bila kufanya kazi. Safi sana.
Sasahivi anakula yeye na genge lake la akina bashite, walamba makalio na KUPAYUKA hovyo hovyo mnaambulia elfu saba saba. Inasikitisha sana kuwa na akili ya namna hii.
 
Attachments

  • Lumumba Buku 7.jpg
    Lumumba Buku 7.jpg
    20.8 KB · Views: 2
CCTV camera zinaonyesha alipigwa risasi na mtu aliyekuwepo naye ndani ya gari yake.Hebu wewe kanusha kwa ushahidi usiokuwa na Shaka
Alipigwa na mtu aliyekuwa naye ndani ya gari?

Ikiwa ni akili yako ya dhihaka hii Mungu akupe upofu WA maisha. Ameen
 
Ukisoma hii comment hajatajwa polepole,bali msaliti Lissu.Kwa hoja ya polepole anzisha yako.
Na mimi niliongeza list ya wasaliti pia huoni suala la Mkurugenzi wa Tume kumnadi mgombea wa CCM hadharani ni usaliti ?
 
Back
Top Bottom