Tundu Lissu: CCM na Ukatili wake vitaondolewa kwa Tufani

Hayo ni maneno mazito ƴa mtetezi ƴa haki za binaɗamu nɗugu Tunɗu Lissu aliyoyatoa mbele ƴa watanzania waishio Washington DC nchini Marekani wakati akijibu maswali kutoka watanzania hao!

Kwa maoni ƴangu Mh. TL ƴuko sahihi. Bila kuwa ƙutengeneza Tufani ya kisiasa, watanzania wataenɗelea kunƴanƴasika uongozi mbovu wa taifa letu!

Kwa maneno ƴa TL, haitatokea hata siku moja CCM wakakubali Tume Huru ƴa Uchaguzi kirahisi bila kutengenezewa Tufani!

Mimi nakubaliana naye kwa asilimia 100, kwa kuwa ni ukweli usiopingiƙa kuwa CCM wamezoea vya ƙunƴonga
maana vya kuchinja hawaviwezi.

Siasa za kistaarabu na kuheshimu utu wa wanaowakosoa si jadi yao. Ndiyo maana wamejifungamanisha na vƴombo vya dola ili kuhakikisha wanaendelea kutawala hata kama jamii ya watanzania haiwahitaji!

Ili CCM ƴa Jiwe na vikaragosi vƴake visambaratishwe, Tufani haiepuƙiƙi.
Huo ni ukweli mchungu ambao watu wengi wanaogopa kuusema.Viongozi wengi wa ccm wa sasa na waliopita walitakiwa wawe gerezani au kwa maana nyingine ni wafungwa watarajiwa.salama yao pekee ya kuendelea kuwepo uraiani ni ccm kuendelea kuwepo madarakani ili ilinde makaburi.Kwa hali hiyo watafanya chochote wawezacho hata ikibidi kuua ili mradi tu ccm ibakie madarakani.yes nani yuko tayari kumove from hero to Mfungwa? So ili kuikomboa nchi yetu kutoka ccm lazima wachache wetu tukubali kufa.through vurugu otherwise hawatakubali mabadiriko yoyote yanayoweza kuwatoa madaraka na wataendelea kueliminate yeyote wanae ona ni tishio kwa madaraka yao.Watanzania wanaopumbazwa na vitu vidogo vidogo kama ndege,flyovers na barabara hawazi kuona kwamba hawa jamaa priority si nchi bali kulinda makaburini. HUWEZI UKAWA PRIOTY YAKO NI NCHI UKAKATAA KATIBA BORA.NO WAY
 
Zamani tukiwa humu JF ilikua kweli ni Home of Great Thinkers lakini siku hizi imevamiwa!

Hakuna ubishi kwamba leo hii wakubwa wa dunia wakiamua jambo lao hakuna atakaewapinga.

Kwa bahati mbaya sana Mh. Rais amejitengenezea maadui wengi kutokana na harakati zake za kile kinachoitwa Vita ya Kiuchumi.

Tatizo jingine kuna maadui ndani ya chama chake ambao wanamvutia kasi kwamba tutarajie lolote ndani ya chama.

Kuna maadui ndani ya nchi, wapo walioumizwa na utawala wake kwa namna moja au nyingine.

Nje ya nchi kwa hao wanaoitwa Mabeberu hali sio nzuri, kuanzia harakati za Makinikia mpaka leo kwenye Stigler Goji! Hapo ndio mahali hatari zaidi, vita dhidi ya Mjerumani.

Diplomasia yetu kwa kipindi hiki sio ya kuridhisha! Mh rais anatakiwa aende mwenyewe badala ya kumtuma mtu.

Tusichukulie mambo haya kwa urahisi, tujifunze kwa waliotangulia......wako waliokua wababe wa dunia akina Saddam Hussein, Gaddafi, Mubarak na wengineo.

Walio madarakani wanapaswa kujitafakari hali sio nzuri, chukueni hatua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua, upinzani wakiungwa mkono na western world, na kukiendelea kuwa na udanganyifu ambao CCM wamezoea kufanya wakati wa uchaguzi, na ukiukwaji wa haki za binadamu usikomeshwe, na serikali ya Magufuli kuendelea kugombana na nchi wahisani, kuna siku mtasikia Western World inasema inamtambua mtu wa upinzani kama Lissu kuwa ndio raisi wa Tanzania, kama vile kinachofanyika Venezuela. Usifikiri hilo haliwezi kufanyika dhidi ya Tanzania. Kwa hiyo wale wanaosema ziara za Lissue nje ya nchi hazimsaidii wanajidanganya sana. Lissu anaweka mtaji ambao unaweza kuja kutumika baadaye dhidi ya CCM , hata katika kipindi cha utawala wa Magufuli.

Lissu akigombea uraisi na Magufuli, kukawa na udanganyifu wa siku zote wa CCM, na mataifa matano tu makubwa duniani wakatangaza kumtambua Lissu kama raisi halali wa Tanzania, basi Magufuli hana chake, hata apige kelele na kupiga watu vipi. Msifikiri Lissu hajui anachofanya huko nje, anajenga hoja ya kutumia baadaye. Muulizeni Maduro wa Venezuela. Tatizo CCM mmejeaa ushabiki hamfikirii mbali zaidi ya urefu wa pua zenu na kutafakari mambo kwa kina.
Its ok kujifariji wakati mwingine kwa wimbo mzuri uliojitungia mwenyewe...
Ila TZ ni ya JPM
 
Unaamini kuwa great thinker wa JF ni kuandika against Magufuli.... Sijaona point ya maana hapa
Bado unaamini kuna mkubwa wa dunia... Omba mungu ili siku moja muzungu afutike kwenye brain yako
Maadui ndani ya chama wanakuhusu nn ukiwa si mwanachama wa CCM? Udaku
Diplomasia ya nje iliwahi kukusaidia nini toka uhuru?
Kutuma mwakilishi kuna shida gani?
Umejitengenezea matatizo mwenyewe kichwani kisha unayakuza kuwa matatizo ya nchi...
 
Vita ya ujerumani na Tanzania ni ya kitambo toka time za ukoloni kipi kimya sasa

Alafu now hakuna mgogoro wowote kati ya tz na ujerumani

Note ujerumani hana tabia za kujihusisha na makoloni yake ya zamani
Zamani tukiwa humu JF ilikua kweli ni Home of Great Thinkers lakini siku hizi imevamiwa!

Hakuna ubishi kwamba leo hii wakubwa wa dunia wakiamua jambo lao hakuna atakaewapinga.

Kwa bahati mbaya sana Mh. Rais amejitengenezea maadui wengi kutokana na harakati zake za kile kinachoitwa Vita ya Kiuchumi.

Tatizo jingine kuna maadui ndani ya chama chake ambao wanamvutia kasi kwamba tutarajie lolote ndani ya chama.

Kuna maadui ndani ya nchi, wapo walioumizwa na utawala wake kwa namna moja au nyingine.

Nje ya nchi kwa hao wanaoitwa Mabeberu hali sio nzuri, kuanzia harakati za Makinikia mpaka leo kwenye Stigler Goji! Hapo ndio mahali hatari zaidi, vita dhidi ya Mjerumani.

Diplomasia yetu kwa kipindi hiki sio ya kuridhisha! Mh rais anatakiwa aende mwenyewe badala ya kumtuma mtu.

Tusichukulie mambo haya kwa urahisi, tujifunze kwa waliotangulia......wako waliokua wababe wa dunia akina Saddam Hussein, Gaddafi, Mubarak na wengineo.

Walio madarakani wanapaswa kujitafakari hali sio nzuri, chukueni hatua!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hayo ni maneno mazito ƴa mtetezi ƴa haki za binaɗamu nɗugu Tunɗu Lissu aliyoyatoa mbele ƴa watanzania waishio Washington DC nchini Marekani wakati akijibu maswali kutoka watanzania hao!

Kwa maoni ƴangu Mh. TL ƴuko sahihi. Bila kuwa ƙutengeneza Tufani ya kisiasa, watanzania wataenɗelea kunƴanƴasika uongozi mbovu wa taifa letu!

Kwa maneno ƴa TL, haitatokea hata siku moja CCM wakakubali Tume Huru ƴa Uchaguzi kirahisi bila kutengenezewa Tufani!

Mimi nakubaliana naye kwa asilimia 100, kwa kuwa ni ukweli usiopingiƙa kuwa CCM wamezoea vya ƙunƴonga
maana vya kuchinja hawaviwezi.

Siasa za kistaarabu na kuheshimu utu wa wanaowakosoa si jadi yao. Ndiyo maana wamejifungamanisha na vƴombo vya dola ili kuhakikisha wanaendelea kutawala hata kama jamii ya watanzania haiwahitaji!

Ili CCM ƴa Jiwe na vikaragosi vƴake visambaratishwe, Tufani haiepuƙiƙi.
RockCarnegie
Ni kweli, kwani nina hakika asilimia 100 tufani hiyo ni nyuma ya bao bonyeo la simu yako na ya yule mwenye kuishi kwenye nadharia kama yako.

Ukisha fahamu CCM ina wanachama wangapi walio hai na inapendwa kwa kiasi gani na watanzania. Ni wazi kuwa, unayo haja ya kuyafuatilia kwa utaratibu maandishi yako uliyoyaandika.

Hata hivyo, unapaswa ufahamu kuwa ilani ya uchaguzi ya CCM 2015/2020, ndiyo ambayo inaiongoza vyombo vya dola. Kwa jinsi hiyo upo sahihi kwa kusema kuwa ili chama kiweze kuyafikia malengo yake, kimeamua kujishikilia kwenye vyombo vya dola. Upo sahihi sana. Lakini kwa lengo la kuwahudumia wananchi wote, hadi waliopo nje ya nchi bure ulaya huko.
 
1550084869636.png
1550085061541.png

Wangekuwa na akili wangekuekewa.

Samahani mkuu. Kule zanzibar mzee wa cuf nae aliyasema haya je yametekelezwa?

CCM ingeliƙuwa inaamini kuwa nguvu zake kwa saɓabu ƴa kuungwa mkono wanachama na watanzania wengine tusingelikuwa tunashuɗia ukandamizaji na ukatili dhiɗi ƴa wapinzani!

Salama ƴa CCM ni vƴomɓo vƴa ɗola, uwezo wa kushawishi hakina. Nɗiyo maana kila kiongozi wa CCM na Serikali akisimama ni vitisho!
 
Zamani tukiwa humu JF ilikua kweli ni Home of Great Thinkers lakini siku hizi imevamiwa!

Hakuna ubishi kwamba leo hii wakubwa wa dunia wakiamua jambo lao hakuna atakaewapinga.

Kwa bahati mbaya sana Mh. Rais amejitengenezea maadui wengi kutokana na harakati zake za kile kinachoitwa Vita ya Kiuchumi.

Tatizo jingine kuna maadui ndani ya chama chake ambao wanamvutia kasi kwamba tutarajie lolote ndani ya chama.

Kuna maadui ndani ya nchi, wapo walioumizwa na utawala wake kwa namna moja au nyingine.

Nje ya nchi kwa hao wanaoitwa Mabeberu hali sio nzuri, kuanzia harakati za Makinikia mpaka leo kwenye Stigler Goji! Hapo ndio mahali hatari zaidi, vita dhidi ya Mjerumani.

Diplomasia yetu kwa kipindi hiki sio ya kuridhisha! Mh rais anatakiwa aende mwenyewe badala ya kumtuma mtu.

Tusichukulie mambo haya kwa urahisi, tujifunze kwa waliotangulia......wako waliokua wababe wa dunia akina Saddam Hussein, Gaddafi, Mubarak na wengineo.

Walio madarakani wanapaswa kujitafakari hali sio nzuri, chukueni hatua!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna cha vita ya uchumi wala vita ya ukimwi-Ni ushamba tu na madaraka kuwa makubwa kuliko uwezo wake. Vita vipi amepigana na amepata nini zaidi ya mileage za siasa nyepesi? unampa sifa asizositahili huyu
 
Unajua, upinzani wakiungwa mkono na western world, na kukiendelea kuwa na udanganyifu ambao CCM wamezoea kufanya wakati wa uchaguzi, na ukiukwaji wa haki za binadamu usikomeshwe, na serikali ya Magufuli kuendelea kugombana na nchi wahisani, kuna siku mtasikia Western World inasema inamtambua mtu wa upinzani kama Lissu kuwa ndio raisi wa Tanzania, kama vile kinachofanyika Venezuela. Usifikiri hilo haliwezi kufanyika dhidi ya Tanzania. Kwa hiyo wale wanaosema ziara za Lissue nje ya nchi hazimsaidii wanajidanganya sana. Lissu anaweka mtaji ambao unaweza kuja kutumika baadaye dhidi ya CCM , hata katika kipindi cha utawala wa Magufuli.

Lissu akigombea uraisi na Magufuli, kukawa na udanganyifu wa siku zote wa CCM, na mataifa matano tu makubwa duniani wakatangaza kumtambua Lissu kama raisi halali wa Tanzania, basi Magufuli hana chake, hata apige kelele na kupiga watu vipi. Msifikiri Lissu hajui anachofanya huko nje, anajenga hoja ya kutumia baadaye. Muulizeni Maduro wa Venezuela. Tatizo CCM mmejeaa ushabiki hamfikirii mbali zaidi ya urefu wa pua zenu na kutafakari mambo kwa kina.
Lina wezekana kabisa na kama kiongozi kama jiwe anachochea ubaguzi ndani ya makundi ya watu tutafika hapo.. Yani jamii imegawanyika kama enzi za mkoloni divide and rule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RockCarnegie
Ni kweli, kwani nina hakika asilimia 100 tufani hiyo ni nyuma ya bao bonyeo la simu yako na ya yule mwenye kuishi kwenye nadharia kama yako.

Ukisha fahamu CCM ina wanachama wangapi walio hai na inapendwa kwa kiasi gani na watanzania. Ni wazi kuwa, unayo haja ya kuyafuatilia kwa utaratibu maandishi yako uliyoyaandika.

Hata hivyo, unapaswa ufahamu kuwa ilani ya uchaguzi ya CCM 2015/2020, ndiyo ambayo inaiongoza vyombo vya dola. Kwa jinsi hiyo upo sahihi kwa kusema kuwa ili chama kiweze kuyafikia malengo yake, kimeamua kujishikilia kwenye vyombo vya dola. Upo sahihi sana. Lakini kwa lengo la kuwahudumia wananchi wote, hadi waliopo nje ya nchi bure ulaya huko.
Muwe mnaenda shule kwanza kabla ya kuamua kufanya hizi siasa zenu uchwara.- yaani unajaribu kuharalisha ujinga kuwa ndo utaratibu wa maisha? Tuambie nchi ambazo vyombo vyake vya dora havifungamani na vyama tawala hawana hizo ilani unazosema? au hivyo vyama na serikali zake hazitumikii wananchi?
 
Samahani mkuu. Kule zanzibar mzee wa cuf nae aliyasema haya je yametekelezwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ƴou have to unɗerstanɗ the concept! CCM haitashinɗa uchaguzi ulio wa huru na haki lakini watajitangazia ushinɗi! Ni Tufani pekee nɗiyo itawaondoa haijalishi ni leo, kesho au ɓaaɗa ƴa miaka laki moja!

Hii ni kwa sababu kadri siku zinavyosonga CCM wanakuwa ni wanƴama kuliko kuwa binaɗamu wa ƙarne ƴa 21wenye ustaatarabu wa hali ya juu!
 
Back
Top Bottom