Tundu Lissu: CCM na Ukatili wake vitaondolewa kwa Tufani

RockCarnegie

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
890
1,000
Hayo ni maneno mazito ƴa mtetezi wa haki za binaɗamu nɗugu Tunɗu Lissu aliyoyatoa mbele ƴa watanzania waishio Washington DC nchini Marekani wakati akijibu maswali kutoka watanzania hao!

Kwa maoni ƴangu Mh. TL ƴuko sahihi. Bila kuwa ƙutengeneza Tufani ya kisiasa, watanzania wataenɗelea kunƴanƴasika uongozi mbovu wa taifa letu!

Kwa maneno ƴa TL, haitatokea hata siku moja CCM wakakubali Tume Huru ƴa Uchaguzi kirahisi bila kutengenezewa Tufani!

Mimi nakubaliana naye kwa asilimia 100, kwa kuwa ni ukweli usiopingiƙa kuwa CCM wamezoea vya ƙunƴonga
maana vya kuchinja hawaviwezi.

Siasa za kistaarabu na kuheshimu utu wa wanaowakosoa si jadi yao. Ndiyo maana wamejifungamanisha na vƴombo vya dola ili kuhakikisha wanaendelea kutawala hata kama jamii ya watanzania haiwahitaji!

Ili CCM ƴa Jiwe na vikaragosi vƴake visambaratishwe, Tufani haiepuƙiƙi.
 
Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
8,764
2,000
Unajua, upinzani wakiungwa mkono na western world, na kukiendelea kuwa na udanganyifu ambao CCM wamezoea kufanya wakati wa uchaguzi, na ukiukwaji wa haki za binadamu usikomeshwe, na serikali ya Magufuli kuendelea kugombana na nchi wahisani, kuna siku mtasikia Western World inasema inamtambua mtu wa upinzani kama Lissu kuwa ndio raisi wa Tanzania, kama vile kinachofanyika Venezuela. Usifikiri hilo haliwezi kufanyika dhidi ya Tanzania. Kwa hiyo wale wanaosema ziara za Lissue nje ya nchi hazimsaidii wanajidanganya sana. Lissu anaweka mtaji ambao unaweza kuja kutumika baadaye dhidi ya CCM , hata katika kipindi cha utawala wa Magufuli.

Lissu akigombea uraisi na Magufuli, kukawa na udanganyifu wa siku zote wa CCM, na mataifa matano tu makubwa duniani wakatangaza kumtambua Lissu kama raisi halali wa Tanzania, basi Magufuli hana chake, hata apige kelele na kupiga watu vipi. Msifikiri Lissu hajui anachofanya huko nje, anajenga hoja ya kutumia baadaye. Muulizeni Maduro wa Venezuela. Tatizo CCM mmejeaa ushabiki hamfikirii mbali zaidi ya urefu wa pua zenu na kutafakari mambo kwa kina.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
145,884
2,000
Hayo ni maneno mazito ƴa mtetezi ƴa haki za binaɗamu nɗugu Tunɗu Lissu aliyoyatoa mbele ƴa watanzania waishio Washington DC nchini Marekani wakati akijibu maswali kutoka watanzania hao!

Kwa maoni ƴangu Mh. TL ƴuko sahihi. Bila kuwa ƙutengeneza Tufani ya kisiasa, watanzania wataenɗelea kunƴanƴasika uongozi mbovu wa taifa letu!

Kwa maneno ƴa TL, haitatokea hata siku moja CCM wakakubali Tume Huru ƴa Uchaguzi kirahisi bila kutengenezewa Tufani!

Mimi nakubaliana naye kwa asilimia 100, kwa kuwa ni ukweli usiopingiƙa kuwa CCM wamezoea vya ƙunƴonga
maana vya kuchinja hawaviwezi.

Siasa za kistaarabu na kuheshimu utu wa wanaowakosoa si jadi yao. Ndiyo maana wamejifungamanisha na vƴombo vya dola ili kuhakikisha wanaendelea kutawala hata kama jamii ya watanzania haiwahitaji!

Ili CCM ƴa Jiwe na vikaragosi vƴake visambaratishwe, Tufani haiepuƙiƙi.
.
IMG-20190213-WA0101.jpeg

Jr
 
RockCarnegie

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
890
1,000
Unajua, upinzani wakiungwa mkono na western world, na kukiendelea kuwa na udanganyifu ambao CCM wamezoea kufanya wakati wa uchaguzi, na ukiukwaji wa haki za binadamu usikomeshwe, na serikali ya Magufuli kuendelea kugombana na nchi wahisani, kuna siku mtasikia Western World inasema inamtambua mtu wa upinzani kama Lissu kuwa ndio raisi wa Tanzania, kama vile kinachofanyika Venezuela. Usifikiri hilo haliwezi kufanyika dhidi ya Tanzania. Kwa hiyo wale wanaosema ziara za Lissue nje ya nchi hazimsaidii wanajidanganya sana. Lissu anaweka mtaji ambao unaweza kuja kutumika baadaye dhidi ya CCM , hata katika kipindi cha utawala wa Magufuli.

Lissu akigombea uraisi na Magufuli, kukawa na udanganyifu wa siku zote wa CCM, na mataifa matano tu makubwa duniani wakatangaza kumtambua Lissu kama raisi halali wa Tanzania, basi Magufuli hana chake, hata apige kelele na kupiga watu vipi. Msifikiri Lissu hajui anachofanya huko nje, anajenga hoja ya kutumia baadaye. Muulizeni Maduro wa Venezuela. Tatizo CCM mmejeaa ushabiki hamfikirii mbali zaidi ya urefu wa pua zenu na kutafakari mambo kwa kina.
CCM wameshakuwa na roho ngumu kama ƴa Tomaso wa ƙwenye Ɓiɓlia. Mpaka waone kwa macho mwisho wao ndo waamini!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom