Tundu Lissu calls for the international community to sanction Magufuli's administration

27 November 2020
#LIVE MADA: BUNGE NA VITI MAALUM. WAZUNGUMZAJI TUNDU LISSU ZITTO KABWE, MARY NDARO, CHAMBI CHACHAGE


Uharamia wa mfumo wa serikali kuhalalisha viti maalum vya Bunge la Muungano Tanzania
Source : Sauti ya Up

Nyie domokaya sijui hamnaga kazi ya kufanya. Huyo mkimbizi lissu hamuoni wala hajui isipokua ubabaishaji wa mambo tu. Kila kitu eti katiba ndio mbaya ili tu nchi ipoteze fedha kuandika katiba ya kuruhusu ushoga na kutoa haki ya wezi na fisadi kuibia nchi bila ya wao kua na hofu ya kufungwa jela na kudaiwa kulipa mali walizofisidi.
 
Eeh Mwenyezi Mungu msamehe mja wako Lissu kwani hajui asemalo. Mjalie kuijua kweli na kuipenda nchi yake ya asili.
 
26 November 2020
Paris, France

Tundu Lissu on F24; Tanzania opposition leader vows to keep fighting



Tundu Lissu, the Tanzanian opposition leader who fled to Belgium after losing last month's election to President John Magufuli, calls for the international community to sanction his administration.

Source : France 24 English

Safi sana.

Rafiki zetu wazungu ungeni mkono ombi la rais wetu Tundu Lissu na Mungu atawabariki sana!
 
KADA WA CCM APATA WAKATI MGUMU JINSI YA KUITETEA SERIKALI YAKE KTK NYANJA YA KIDIPLOMASIA NA MAHUSIANO KIMATAIFA

Mwanadiplomasia kada mtetezi wa CCM Mpya yupo ktk wakati mgumu kwani sauti yake, mtiririko wa sentensi zake, lugha ya mwili (body language) na nadhiri yake vinaonesha ugumu kutetea kinachofanywa na utawala wa CCM Mpya lakini anakataa ukweli huo.

Swali kuu alilotupiwa ni kuwa Tanzania imesaini mikataba mingi ya kimataifa kuhusu demokrasia, uhuru wa kupashana habari, kulinda utu wa binadamu n.k lakini jinsi mambo yanavyoenda ktk miaka 5 iliyopita na hii mitano mingine CCM Mpya itatumia mbinu gani kushawishi Jumuiya ya Kimataifa.
Source : DARMPYA TV
 

Somo kwa mwanadiplomasia kada wa CCM Mpya hapo juu, huwezi kutetea kitu usichofahamu machungu yake, mfano :

Diplomasia Yetu: 2.Mfumo wetu wa Elimu, unatuandaa kuwa washindani duniani?

 
Back
Top Bottom