Tundu Lissu azungumzia madai ya kuchafua taifa na Spika kuzuia mshahara wake akihutubia Watanzania waishio Marekani

Navuta picha kuona jinsi ulivyoandika kwa masikitiko, huku nafsi ikikusuta.Ushauri kwa wahusika ni kutubu tu kwa imani zso. Kwa wakristo tunaamini ukitubu kwa dhati kwa uliyemtendea ubaya na Mungu wako, damu ya kristo inasafisha dhambi hata kama ni nyekundu itatakaswa kuwa nyeupe. Vinginevyo hawatakaa wapate amani ya mioyo yao daima.
Nawashangaa wanaume mnakosa kazi za kufanya ila ni kusifia mtu mgonjwa anayeunga mkono yale kinyeo hivi akiwaomba mtasemaje? Mwenzenu yuko huko anachukuwa mbinu za mataifa mbalimbali na uzoefu akitua Tz atawakomesha. Ufipa buana.
 
Don't mind my sister, We have all sinned and fall short of the glory of God, Romans 3:23; However, without prejudice to the above, I hold you in high esteem.

Who cares if "the lamb" already bore all the sins, "the Lamb of God who takes away the sins of the world" (John 1:29).


Indeed it is rubbish.
 
Who cares if "the lamb" already bore all the sins, "the Lamb of God who takes away the sins of the world" (John 1:29).


Indeed it is rubbish.
He bore the sins so that whosoever believes in him should never perish but have an everlasting life, John 3:16
 
Back
Top Bottom