Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
wenzenu ccm wameagiza pick-up land cruiser mkonga 92 kwa ajiri ya uchaguzi mkuu 2020, nawafufua magari yazamani aina mbarimbari magari 39 yapo garerge mpaka sasa! Ww unakuja na picha ya bus! Mnafikiri kwa nyuma.
Nakuna Hercopter 4 mpya zinakuja za ccm , coster bus 4, isuzu truck 6 , hii yte nimaandarizi ya campain
harafu nyie unaonyesha bus la lisu!
inamaana cku lisu akitoka chadema anatoka nalo.
 
Basi wewe ni sawa na ukimwi
Hili lazima litakuwa Korona. TL ni sehemu ya Corona Covid-19. Nilipogundua alitaka Watanzania tupigane na tubaguane ili iwe Rahisi kwa Wafadhili wake kunufaika na rasilimali nyingi zilizopo Tanzania, niliisha muona ni moja ya epidemic disease hatari kuliko hata Covid-19.

In God we Trust
 
Ilishindikanaje Bwana Lisu aspige picha pamoja na zawadi yake ikiwa tu anaweza kupiga picha akiwa amebeba (gongo/ bia) mkononi akiwa anatanua na kuonyesha jinsi anavyoziweza starehe?
 
Ilishindikanaje Bwana Lisu aspige picha pamoja na zawadi yake ikiwa tu anaweza kupiga picha akiwa amebeba (gongo/ bia) mkononi akiwa anatanua na kuonyesha jinsi anavyoziweza starehe?
Kwani kupiga picha na bia inakushangaza nini? Mbona usishangae na MTU anayepiga picha na kikombe cha kahawa kijiweni baada ya kukimbia mapambano mjini na kumwachia Ummy Mwalimu?
 
Zawadi apewe lisu harafu gari liandikwe chadema!
Chadema ushamba utaisha lini? Sasa bus litawasaidia nini!
Mwezenu ccm katoa hela za mwenge ziende kwa corona nyie hata ofisi hamna! Unaonyesha basi, nisawa nakuoa huna shuka wala kitanda.
Ametoa mfukoni mwake?.
 
Kama wazungu waliahidi kumpa basi ila wakaingia nalo mitini nini kinamfanya awaamini kina Amsterdam na Pompeo! Watamlinda kweli akifanya wanayomshawishi kuifanyia nchi?
 
Status
Not open for further replies.
172 Reactions
Reply
Back
Top Bottom