Hapa unacheza na maneno, na hujaja na jibu.
Tunachotaka ni majibu, jee, walikufa kweli wakiwa mikononi mwa Serikali ya Nyerere na au Karume? Jee, walifungwa kwanini kama jibu la kwanza ni ndio. Jee, kama walizikwa kisheria ya dini zao, walizikwa wapi, kwani Tundu Lissu kasema bungeni na hakuna mpaka sasa kauli iliyotoka kujibu shutuma za hawa watu.
Tundu Lissu hakusimama pale bungeni na hoja yake binafsi, Tundu Lisssu alikuwa anaongea hoja za wapinzani. Serikali kukaa kimya kwa hili inatutia mashaka sisi wananchi.
Na hapa naona wewe unakuja kucheza na maneno, inaonesha ni vipi ulivyo na kejeli katika kuonegelea masuala ya binaadam ambao wengi tumesikia juzi bungeni maafa yaliowakuta wakiwa mikononi mwa Serikali. Wala hatukusikia pale bungeni mbunge yeyote akisema Lissu athibitishe aliyoyasema la sivyo afute kauli zake kuwa ni uongo, hatujaona hayo.
Nakushauri amma njoo na majibu ya hayo ki staha na utaarabu amma sema huna majibu, lakini kutetea uovu ni laana kubwa kuliko mfano.
Hakuna ulevi mbaya kama ulevi wa madaraka, na hapa unaongea kama mtu aliyelewa madaraka.
Hilo si lingeulizwa Baraza La Wawakilishi, au kule kwa Karume.MwanaDiwani,
Mbona hujagusia hoja za akina Kassim Hanga na wenzake aliowataja Tundu Lissu kwa majina? wako wapi?
Ndugu, Kama ni swala la maandiko tu, mbona kuna maandiko ya fiction mengi tu.Mkuu faizaFox narudia tena team MwanaDiwani haiwezi kujadili hoja hizi, hasa zenye kumtaja hayati mwalimu (RIP), maandiko yapo Tele, lakini kila atayejaribu kuyasema atatangazwa nchi nzima kuwa "anatukana na kudhalilisha" waasisi. Heko wanaousimamia ukweli.
Miaka karibu 240 ya uhuru wa USA kuna majimbo hayajawahi kutoa Rais na husikii wamarekni kuifanya hii ni hoja, Kiongozi achaguliwe kwa uwezo wa kuongoza Taifa sio dini yake au pande gani ya nchi anatokea, siku tukijitenga hawa hawa watatuambia Wanyiramba au wanyakyusa hawajawahi kuongoza nchi kwa hiyo Mbeya wajitenge. na siyo kila mpinga hoja za Lissu ni CCM , wengi hatupendi CCM ila hoja za kizushi hizi we'r sick and tired of themMiaka 50 ya Muungano, mnzazibar mmoja ameshakuwa Waziri wa Mambo ya nje (Masele, 2014) safi sana muungano wa kipekee duniani (Mizengo, 2014) udumu milele.
Ndugu, swali lako ni zuri sana.Hilo si lingeulizwa Baraza La Wawakilishi, au kule kwa Karume.
Amani si bado yupo.
Lissu hana akili sana na ukimfuata unaonekana sawa naye.
Kwanini haulizi Dedan Kimathi kaburi lake liko wapi?
Ndugu, tunaelewa vizuri ajenda zao. Kila Kile wanachokifikiria, sisi tunakuwa tumeishakifahamu.Masuala ya Hanga kwa sasa ni ya kifamilia zaidi na wala sio ya serikali kujibu.
Kama utakuwa muelewa, serikali iliyopo madarakani, ina wajibu wa kulinda raia na mali zao, na sio kuwafanya hayo mambo ambayo wewe na watu wa aina yako mnakisia.
Kwa akili ya kawaida tu, hivi kama kweli Nyerere au Karume wangekuwa na nia mbaya dhidi ya Hanga, unadhani wangemuweka hadharani!? Si wangefanya mambo kimya kimya tu..
Ila hadi kumuona Hanga mikononi mwa sheria, basi ujue kwamba suala lake lilikuwa mahakamani na kama CHADEMA au Kambi ya upinzani inataka majibu tofauti na ambayo mtoto wa marehemu ameyatoa, basi bila shaka hawana budi kulithibitishia taifa juu ya madai yao.
Ndugu, Lissu amesema ukweli upi?.Lisu anasema ukweli!
Taabu kubwa hapa ni CCM kuendeshwa kwa mazoea kwa miaka 50 bila kupenda kuusikia ukweli!
Hahahahahahaaaaaaa! Serikali haiwezi kupeleka suala hilo mahakamani, tena suala lenyewe linalotokana na TL kwa sababu wanamfahamu kuliko vitanda vyao wanavyovifahamu. Anachokisema TL anakijua na kumpeleka mahakamani ni sawa na kujionyesha utupu njia panda pale Kariakoo. Kama ina majibu na impeleke, lakini wawe tayari kuumbuliwa. Ndo maana wanaongea kwa kujihami wakinyoosha vidole kwa TL na visingizio kibao, oooh anamtukana muasisi...., ooh anachonganisha wananchi na serikali.....ooh flofloflofloflofloflooo! Chezea Tundu Lisu weye.ntafurahi sana hiyo kesi ikifunguliwa haraka na mapema zaidi ili tupate ukweli halisi. ila nijuavo miyee sidhani kama huyu bwa mdogo ataruhusiwa kufungua hayo mashtaka maana ccm wanajua kabisaa ikifunguliwa kesi haitakuwa ndogo yataibuka mengi zaidi ya kifo cha hanga.. na hapo ndio kutatokea kuumbuliwa kwa serikali ya ccm kwa umafia wake wakati wa enzi za mwalim na mpaka sasa tulipo umafia wa kuua watu muhim kwa manufaa ya wachache tu. TUNASUBIRI KWA HAMU
Kama ni uwongo mpelekeni mahakamani kama mtathubutu, maana hamjui kitu chochote zaidi ya kurithishwa uongozi!Ndugu, kwani hao wabunge kama walikuwa wanamjadili Tundu Lissu tatizo lako ni nini?.
By the way, hufahamu kama Tundu Lissu alikuwa anajadili watu aliokuwa anadai waliuawa na serikali!.
Tuelezee walivyokufa ili tujue upi uongo pamoja na picha za makaburi yao! otherwise you are bluffing!Ndugu, Lissu amesema ukweli upi?.
Unafahamu yaliko mahandaki ambako anadai wamezikwa marehemu?. Kama hufahamu, unaupataje ukweli wa hoja zake bila proof.
Kwaiyo hata we ukifa leo watu wa keshoo wasihoji? Kwakuwa wamezaliwa baaada ya wewe kufa?aisee kama ndo una akili hizi basi we zaidi ya JangaMbona inaonekana mnalazimisha mjibiwe mnavyotaka nyie, serikali iachane na kujibu uzushi kila siku jamaa alishazusha kuhusu hati za muungano na zikaonyeshwa watu mkabaki midomo wazi sasa mtoto wa Hanga amesema serikali ijibu nini tena.
Hakuna wananchi wanaotaka hayo majibu wengi wamezaliwa baada ya muungano na tuko poa, wanasiasa ndio wanaotaka majibu na wananchi msiwasingizie semeni mnachotaka straight.
Madaraka na Haki za BungeKama ni uwongo mpelekeni mahakamani kama mtathubutu, maana hamjui kitu chochote zaidi ya kurithishwa uongozi!
100.-(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.
(2) Bila ya kuahiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote inayohusika, Mbunge yeyote hatashtakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote alilolisema au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta Bungeni kwa njia ya maombi, muswada, hoja au vinginevyo.
MwanaDiwani,
Mbona hujagusia hoja za akina Kassim Hanga na wenzake aliowataja Tundu Lissu kwa majina? wako wapi?
Kwa nini miaka 50 ya muungano waziri mkuu hajatoka zanzibar..raisi usiseme, jaji mkuu usiseme nk nk..
Ndugu, sikufahamu lakini hoja zako ni kama za vijana wa darasa la nne.Tuelezee walivyokufa ili tujue upi uongo pamoja na picha za makaburi yao! otherwise you are bluffing!