Ndugu, kwani hao wabunge kama walikuwa wanamjadili Tundu Lissu tatizo lako ni nini?.
By the way, hufahamu kama Tundu Lissu alikuwa anajadili watu aliokuwa anadai waliuawa na serikali!.
mkuu TL alikuwa akijadili kero za muungano moja ya kero hizi Ni ukimya na usiri juu ya wapi walipelekwa akina Hanga na kwa nini? Hapa wewe na wabunge wengine, mnajikita kumjadili Tundu Lisu badala ya kujadili hoja yake, hapo juu unanipa maswali zaidi unaponiuliza "kama wabunge wanamjadili Lisu tatizo langu nini?" kweli upo serious?
Ndugu, unasema "waliosemakana". Sasa hiyo "semekama" itaiondoa vipi bila proof. Wewe ndiyo unadai kuwa walizikwa na serikali kwenye handaki moja. Halafu tena unasema hutaki proof. Kwa hiyo unataka jibu la YES or NO and then biashara ya kuuliza swali inaisha.Kumbuka kuwa hapa hatuongelei "proof", tunaongelea hoja ya watu waliosemekana wamepotezwa kwa kuupinga muungano wa Nyerere na Karume kwa namna moja au nyingine.
Hili suala si jepesi kama unavyolichukulia, na hizi ndio baadhi ya kero kuu za Muungano, wanaoongelewa ni watu na si vitu.
Serikali inatakiwa ije na majibu ya kuridhisha wananchi na si kuja na maswali mbadala. Kama walikufa walipokuwa chini ya mikono ya Serikali inabidi serikali ieleze na walipozikwa ni wapi na kwanini waliwekwa kizuizini.
Unaweza kurejea kwenye mjadala wa jana hapa chini juu ya kifo cha Kassim Hanga
Yamemkuta Lissu: Kushtakiwa na mtoto wa Hanga kwa udanganyifu!
WanaJF,
Mtoto wa aliyekuwa mwasisi wa mapinduzi ya Zanzibar, bwana Juma Abdallah Hanga, ameamua kuchukua maamuzi magumu ya kumpeleka Tundu Lissu mahakamani kufuatia kauli za mwanasheria huyo wa CHADEMA kuwa za uongo, uchochezi na udanganyifu.
Mtoto huyo wa kwanza wa hayati Hanga, ambae pia ni mwanachama wa CCM, amesema baba yake alifariki kifo cha kawaida na kuzikwa kwa kufuata taratibu zote za dini ya kiislamu kwenye makaburi ya familia. Kwa maana hiyo maneno ya mwanasiasa Tundu Lissu kuhusu chanzo cha kifo cha baba yake ni ya kuokoteza na hayana ukweli wowote. Aliliambia gazeti la Zanzibar Leo.
Pia Juma Hanga amesema amepanga kwenda mahakamani kumshtaki mwanasiasa Tundu Lissu kwa upotoshaji wake kwa umma juu ya kifo cha baba yake kwa kuwa ana amini akiacha maneno hayo ya uongo yaendelee kusemwa yanaweza kuzua uchochezi utakao vuruga amani.
My take,
Ni wakati sasa kwa Lissu kuandaa ushahidi wake juu ya kauli yake ya kuuwawa kwa mwasisi huyo na kuonyesha kaburi hilo la pamoja analodai mwanasiasa huyo pamoja na wenzake wamezikwa. Hili suala halitaki porojo.
Kumbuka kuwa hapa hatuongelei "proof", tunaongelea hoja ya watu waliosemekana wamepotezwa kwa kuupinga muungano wa Nyerere na Karume kwa namna moja au nyingine.
Hili suala si jepesi kama unavyolichukulia, na hizi ndio baadhi ya kero kuu za Muungano, wanaoongelewa ni watu na si vitu.
Serikali inatakiwa ije na majibu ya kuridhisha wananchi na si kuja na maswali mbadala. Kama walikufa walipokuwa chini ya mikono ya Serikali inabidi serikali ieleze na walipozikwa ni wapi na kwanini waliwekwa kizuizini.
Ndugu, haya ni majadiliano kama unadhani siko serious, kuna ignore button!.mkuu TL alikuwa akijadili kero za muungano moja ya kero hizi Ni ukimya na usiri juu ya wapi walipelekwa akina Hanga na kwa nini? Hapa wewe na wabunge wengine, mnajikita kumjadili Tundu Lisu badala ya kujadili hoja yake, hapo juu unanipa maswali zaidi unaponiuliza "kama wabunge wanamjadili Lisu tatizo langu nini?" kweli upo serious?
Hizi ni hoja za kitoto. Yaani mtu ameishamwambia kuwa ni mwizi halafu unamuuliza tena kama ni mwizi. Nani hapa ambaye hayuko serious.
Ndugu, unasema "waliosemakana". Sasa hiyo "semekama" itaiondoa vipi bila proof. Wewe ndiyo unadai kuwa walizikwa na serikali kwenye handaki moja. Halafu tena unasema hutaki proof. Kwa hiyo unataka jibu la YES or NO and then biashara ya kuuliza swali inaisha.
Hoja ya Kassimu Hanga ilishajibiwa jana na mtoto wa Hanga. Alisema kuwa baba yake alikufa kifo cha kawaida na alizikwa kwa mujibu wa taratibu zote za dini ya kiislam. Anasema pia kaburi la baba yake lipo
Hoja za lissu hazijawahi kujibiwa kamwe na mainterahamwe, zaidi ya kumshambulia yeye binafsi! Lissu bado ni mwiba mkali umagambani na interahamwe kiujumla!
ntafurahi sana hiyo kesi ikifunguliwa haraka na mapema zaidi ili tupate ukweli halisi. ila nijuavo miyee sidhani kama huyu bwa mdogo ataruhusiwa kufungua hayo mashtaka maana ccm wanajua kabisaa ikifunguliwa kesi haitakuwa ndogo yataibuka mengi zaidi ya kifo cha hanga.. na hapo ndio kutatokea kuumbuliwa kwa serikali ya ccm kwa umafia wake wakati wa enzi za mwalim na mpaka sasa tulipo umafia wa kuua watu muhim kwa manufaa ya wachache tu. TUNASUBIRI KWA HAMUUnaweza kurejea kwenye mjadala wa jana hapa chini juu ya kifo cha Kassim Hanga
Yamemkuta Lissu: Kushtakiwa na mtoto wa Hanga kwa udanganyifu!
WanaJF,
Mtoto wa aliyekuwa mwasisi wa mapinduzi ya Zanzibar, bwana Juma Abdallah Hanga, ameamua kuchukua maamuzi magumu ya kumpeleka Tundu Lissu mahakamani kufuatia kauli za mwanasheria huyo wa CHADEMA kuwa za uongo, uchochezi na udanganyifu.
Mtoto huyo wa kwanza wa hayati Hanga, ambae pia ni mwanachama wa CCM, amesema baba yake alifariki kifo cha kawaida na kuzikwa kwa kufuata taratibu zote za dini ya kiislamu kwenye makaburi ya familia. Kwa maana hiyo maneno ya mwanasiasa Tundu Lissu kuhusu chanzo cha kifo cha baba yake ni ya kuokoteza na hayana ukweli wowote. Aliliambia gazeti la Zanzibar Leo.
Pia Juma Hanga amesema amepanga kwenda mahakamani kumshtaki mwanasiasa Tundu Lissu kwa upotoshaji wake kwa umma juu ya kifo cha baba yake kwa kuwa ana amini akiacha maneno hayo ya uongo yaendelee kusemwa yanaweza kuzua uchochezi utakao vuruga amani.
My take,
Ni wakati sasa kwa Lissu kuandaa ushahidi wake juu ya kauli yake ya kuuwawa kwa mwasisi huyo na kuonyesha kaburi hilo la pamoja analodai mwanasiasa huyo pamoja na wenzake wamezikwa. Hili suala halitaki porojo.
mtu kigeugeu ajibiwe ili iweje? Mtu kama huyo ni kuachana naye na kumtoa maana kabisa!
Kumbuka kuwa hapa hatuongelei "proof", tunaongelea hoja ya watu waliosemekana wamepotezwa kwa kuupinga muungano wa Nyerere na Karume kwa namna moja au nyingine.
Hili suala si jepesi kama unavyolichukulia, na hizi ndio baadhi ya kero kuu za Muungano, wanaoongelewa ni watu na si vitu.
Serikali inatakiwa ije na majibu ya kuridhisha wananchi na si kuja na maswali mbadala. Kama walikufa walipokuwa chini ya mikono ya Serikali inabidi serikali ieleze na walipozikwa ni wapi na kwanini waliwekwa kizuizini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan alikataa kueleza walipo waasisi sita wa Muungano ambao kambi ya upinzani ilidai kuwa waliuawa na kuzikwa handaki moja, badala yake akatumia nafasi hiyo kumshambulia mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akidai hizo ni propaganda na upotoshaji.Unaweza kurejea kwenye mjadala wa jana hapa chini juu ya kifo cha Kassim Hanga
Yamemkuta Lissu: Kushtakiwa na mtoto wa Hanga kwa udanganyifu!
WanaJF,
Mtoto wa aliyekuwa mwasisi wa mapinduzi ya Zanzibar, bwana Juma Abdallah Hanga, ameamua kuchukua maamuzi magumu ya kumpeleka Tundu Lissu mahakamani kufuatia kauli za mwanasheria huyo wa CHADEMA kuwa za uongo, uchochezi na udanganyifu.
Mtoto huyo wa kwanza wa hayati Hanga, ambae pia ni mwanachama wa CCM, amesema baba yake alifariki kifo cha kawaida na kuzikwa kwa kufuata taratibu zote za dini ya kiislamu kwenye makaburi ya familia. Kwa maana hiyo maneno ya mwanasiasa Tundu Lissu kuhusu chanzo cha kifo cha baba yake ni ya kuokoteza na hayana ukweli wowote. Aliliambia gazeti la Zanzibar Leo.
Pia Juma Hanga amesema amepanga kwenda mahakamani kumshtaki mwanasiasa Tundu Lissu kwa upotoshaji wake kwa umma juu ya kifo cha baba yake kwa kuwa ana amini akiacha maneno hayo ya uongo yaendelee kusemwa yanaweza kuzua uchochezi utakao vuruga amani.
My take,
Ni wakati sasa kwa Lissu kuandaa ushahidi wake juu ya kauli yake ya kuuwawa kwa mwasisi huyo na kuonyesha kaburi hilo la pamoja analodai mwanasiasa huyo pamoja na wenzake wamezikwa. Hili suala halitaki porojo.
Zamani wapinga muungano kama alivyo Tundu Lissu walikuwa wanashughulikiwa ipasavyo. Tumshukuru Mungu kwa kutuletea Rais mvumilivu sana kwa sasa
Mbona inaonekana mnalazimisha mjibiwe mnavyotaka nyie, serikali iachane na kujibu uzushi kila siku jamaa alishazusha kuhusu hati za muungano na zikaonyeshwa watu mkabaki midomo wazi sasa mtoto wa Hanga amesema serikali ijibu nini tena.
Hakuna wananchi wanaotaka hayo majibu wengi wamezaliwa baada ya muungano na tuko poa, wanasiasa ndio wanaotaka majibu na wananchi msiwasingizie semeni mnachotaka straight.
Kuuliza akina Hanga leo ni sawa na kuuliza kwanini watu waliuawa katika mapinduzi. Zanzibar ilikuwa kimsingi ilikuwa chini ya utawala wa kijeshi. Inaonesha amani yetu imetudumaza kufikiri, hivyo watu wanajua maana ya serikali ya mapinduzi aka ya kijeshi?
Wewe, wacha uongo.