Tundu Lissu atua Jijini London, Uingereza

Mh za MB ni kidogo sana unapohoji utaonekana MPUMBAVU, unapaswa kuhoji vitu vinavyoleta hisia ya matumizi makubwa ya feza
Huna akili,ela kidogo inaokotwa?sisi tunaofuatilia ishu za MZALENDO LISSU tunajua na amesema kuwa anasaidiwa na watu wa kila aina,ndiyo maana akasema yeye ni mgonjwa wa taifa.
Anakuja lofa mmoja kama MPUMBAVU kuuliza uzwazwa.
 
Sasa wakati nimeuliza mara ya kwanza ungetoa hilo jibu lako ningekuelewa na wala nisingeendelea na malumbano, jibu ulikuwa nalo ila ukaamua kutolitoa na kuniuliza eti za MB we unapata wapi. Naanza kutilia shaka uelewa wako
 
Umekuja kufuata nini kwenye uzi wa mtu usiyemjua au kumfuatilia,na kama humjui au humfuatilii unajuaje uwezo wake mpaka uulize kuhusu safari zake.
Watu wangapi wanaenda London na hushangai,mpaka ushangae Lissu kwenda.
 
Mkubwa Mwanahabari huru,

Mimi huwa napenda uposti habari kamili yenye details za kujitosheleza...

Sasa hapa unatupia picha, haina maelezo yote zaidi ya heading maana yake nini eti?

Halafu wachangiaji nao bila hata kuhoji wanaamini kweli hapo ni London Uingereza!!

Duuh, watu kweli kumbe ni rahisi sana tu kuwaburuza kwa cheap spins..

Hebu tueleze na thibitisha kuwa hapa ni Uingereza. Alikwenda kufanya nini. Yuko njiani kuja TZ au?

Sorry, mimi ni mpenzi na shabiki haswa wa Tundu Lissu. Lakini mnapoleta habari kumhusu, lazima ziwe kamili na za kueleweka!!
 
Back
Top Bottom