Tundu Lissu atua Jijini London, Uingereza

Umekuja kufuata nini kwenye uzi wa mtu usiyemjua au kumfuatilia,na kama humjui au humfuatilii unajuaje uwezo wake mpaka uulize kuhusu safari zake.
Watu wangapi wanaenda London na hushangai,mpaka ushangae Lissu kwenda.
Huna Hoja bwana mdogo, nenda kakojoe ukalale
 
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif


clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
clap.gif
 
Ni vema aliye kiumbe wa Mungu kushangilia miujiza yake. Tangu risasi na hizi bunduki kali kugunduliwa sijui kama kuna mtu keshawahi kumiminiwa risasi kiasi hiki akapona. Kile kitabu cha kuandika rekodi duniani sijui kama wamelitambua hili!
Anayekebehi ni kama anamkebehi Mungu aliyemponya na itamfaa kupokea laana!
Guines World Record Book Kazi kwenu
 
Lissu anatakiwa akahutubie kwenye Commons..kisha number 10 Downing st. Halafu akapeane mkono na Malikia Elizabeth wa pili.
 
Back
Top Bottom