Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,211
- 14,800
Waislamu watampinga na kumkataa kwa 100%, Wakristo watagawanyika, Wakristo jina watakuwa naye (labda) lakini Wakristo real hawa-relate naye, hivyo ni ngumu sana kwake kutoboa na harakati zake kwani yuko vugu vugu na siyo 100% Christian for Christians …