Duh! Dogo tena umejuaje kama mo dogo. Huyo lisu mwenyewe mdogo kwangu na tunatoka sehemu moja kijiji kimojaDogo umepanic. Hii nchi yetu wote. Vyovyote itakavyokua wana haki ya kufanya mahafali na kuhutubiwa na yeyote wamtakae hata kama wewe na wenzio inawauma . Jamaa kakuzidi labda wewe umemzidi umaskini wako wa kifkra. Ova
Hakuna namna mkuu si umewazuia mikutano ya vyama vya siasa sasa ukipata fulsa kama hiyo unashusha nondo za kutosha hakuna njia nyingine maana wao ni wababe sana,wana nguvu ya vyombo vya ulinzi na usalama wana kila kitu kandamizi.YAN TUMEFIKIA MAHALI TAIFA LINAHUTUBIWA KWENYE MAHAFALI????
I believe this is magufuli's message.Taifa! Coward's leader!
YAN TUMEFIKIA MAHALI TAIFA LINAHUTUBIWA KWENYE MAHAFALI????
HahahaaaAmepakumbuka mahabusu huyu hana lolote.
YAN TUMEFIKIA MAHALI TAIFA LINAHUTUBIWA KWENYE MAHAFALI????