Tundu Lissu asisitiza kugombea urais

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,450
147,166
Aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki amesisitizia nia yake ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu ujao.

Iwe isiwe ni lazima nigombee urais, amesisitiza Lissu.

Chanzo: Nipashe

My take; Chadema hawatabadili gia angani?!
 
Hatutaki udaku leta hbr za magazeti ya binadamu Kama the Monitor, The Guardian UK, American Today, Tzeitung nk. Sio unaleta za magazeti ya nyimbo na mapambio hapa. By the way TL akiwa Raisi wa Nchi hii tutapata maendeleo ya Kweli sio ngonjera za mzee Abunuasi hapa
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki amesisitizia nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao.

Iwe isiwe ni lazima nigombee urais, amesisitiza Lisu.
Source gazeti la Nipashe

My take; Chadema hawatabadili gia angani?!
Huyu Tundu Lissu naye anakuwa kama mgonjwa wa vipindi??

Mara nitarejea nyumbani na kugombea urais.............

Mara sitaweza kurudii kipindi hiki hadi pale serikali itakaponihakikishia usalama wangu.......

Sasa hivi tena anasema atarudi nyumbani na LAZIMA agombee urais mwaka 2020!

Anataka "ammalize" Jiwe kwa ugonjwa wa moyo??
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki
Iwe isiwe ni lazima nigombee urais, amesisitiza Lisu.
Source gazeti la Nipashe
Hilo lla kusema azima iwe isiwe kakosea.Ndani ya chadema Wana utaratibu wa kupitisha wagombea .Kwa hiyo anashinikiza chadema kuwa watake wasitake lazima wampe yeye? Kwa kipi special Sana alichonacho.Aache watubwa m rate naona ana ji overate

Pili.mwongo mkubwa akiongea na voice of America alisema hatarudi Hadi Raisi Magufuli aondoke .Raisi aliyeko madarakani huondoka rasmi siku ya raisi mpya anapoapishwa .Sasa Lisu Kama atagombea Ina maana atagombea Raisi Magufuli akiwepo Madarakani kitu ambacho Lisu mwenyewe alitamka wazi kuwa hatarudi nchini mpaka Raisi Magufuli akiwepo.Tundu Lisu mwongo mwongo
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki amesisitizia nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao.

Iwe isiwe ni lazima nigombee urais, amesisitiza Lisu.
Source gazeti la Nipashe

My take; Chadema hawatabadili gia angani?!
Huyu jamaa cannabis zilishamharibu kichwani, Hatuna MTU hapo
 
Ukiwa una wa amini Wana siasa basi unatakiwa ujitafakari Sana mwenendo wako hasa juu ya uchanganuz wa mambo
 
Hilo lla kusema azima iwe isiwe kakosea.Ndani ya chadema Wana utaratibu wa kupitisha wagombea .Kwa hiyo anashinikiza chadema kuwa watake wasitake lazima wampe yeye? Kwa kipi special Sana alichonacho.Aache watubwa m rate naona ana ji overate

Pili.mwongo mkubwa akiongea na voice of America alisema hatarudi Hadi Raisi Magufuli aondoke .Raisi aliyeko madarakani huondoka rasmi siku ya mpya raisi mpya anapoapishwa .Sasa Lisu Kama atagombea Ina maana atagombea Raisi Magufuli akiwepo Madarakani kitu ambacho Lisu mwenyewe alitamka wazi kuwa hatarudi nchini mpaka Raisi Magufuli akiwepo.Tundu Lisu mwongo mwongo
Labda Chadema wakimkata ataenda ACT wazalendo!
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki amesisitizia nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao.

Iwe isiwe ni lazima nigombee urais, amesisitiza Lisu.
Source gazeti la Nipashe

My take; Chadema hawatabadili gia angani?!
Aanzie uenyekiti wa chama

Jimbo lilimshinda, nchi ataiweza?
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki amesisitizia nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao.

Iwe isiwe ni lazima nigombee urais, amesisitiza Lisu.
Source gazeti la Nipashe

My take; Chadema hawatabadili gia angani?!
Habari kuileta kiuchonganishi inakusaidia nini?
Lissu kasema kama chama chake kitamteua atagombea, mbona ni tofauti na ulivyo leta?
 
Huyu Tundu Lissu naye anakuwa kama mgonjwa wa vipindi??

Mara nitarejea nyumbani na kugombea urais.............

Mara sitaweza kurudii kipindi hiki hadi pale serikali itakaponihakikishia usalama wangu.......

Sasa hivi tena anasema atarudi nyumbani na LAZIMA agombee urais mwaka 2020!

Anataka "ammalize" Jiwe kwa ugonjwa wa moyo??
Wewe ndo haikumuelewa viziri..alisema atarudi nyumbani urais ni majaliwa kama chama chake kitamuhitaji,kuhusu usalama wake hakusema serikali ndo imhakikishie,kumuelewa genius inabidi utulie sana
 
Back
Top Bottom