Tundu Lissu asisitiza kugombea urais

Tundu Lissu asisitiza kugombea urais

Hilo lla kusema azima iwe isiwe kakosea.Ndani ya chadema Wana utaratibu wa kupitisha wagombea .Kwa hiyo anashinikiza chadema kuwa watake wasitake lazima wampe yeye? Kwa kipi special Sana alichonacho.Aache watubwa m rate naona ana ji overate

Pili.mwongo mkubwa akiongea na voice of America alisema hatarudi Hadi Raisi Magufuli aondoke .Raisi aliyeko madarakani huondoka rasmi siku ya raisi mpya anapoapishwa .Sasa Lisu Kama atagombea Ina maana atagombea Raisi Magufuli akiwepo Madarakani kitu ambacho Lisu mwenyewe alitamka wazi kuwa hatarudi nchini mpaka Raisi Magufuli akiwepo.Tundu Lisu mwongo mwongo
CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu 2020
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki amesisitizia nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao.

Iwe isiwe ni lazima nigombee urais, amesisitiza Lisu.
Source gazeti la Nipashe

My take; Chadema hawatabadili gia angani?!
Upumbavu hauna shule
 
Hata wakibadili kwani chama pekee anachoweza kugombea ni cdm?
 
Kama ameshapitishwa na vikao halali vya chama chake mwache awanie urais ni HAKI YAKE
 
Mbo

Mbona sisi tunamuelewa sana,sayansi imethibitisha kuwa ukiona umuelewi mtu amabe dunia inamtambua kuwa na IQ kubwa ujue wewe una IQ below average

Dunia ilikuwa inamtambua hata Gadaffi, Mugabe, Saddam, Iddy Amin nk. Suala sio kutambulika bali unatambulikaje.
 
Mbo

Mbona sisi tunamuelewa sana,sayansi imethibitisha kuwa ukiona umuelewi mtu amabe dunia inamtambua kuwa na IQ kubwa ujue wewe una IQ below average
Sema mimi sisi ww na nani?
Nä sio lazima wote tumuelewe,kaa na ufinyu wako wa akili na ujiite una iq kubwa.
IQ hiyo ya kuhangaisha ubongo wako kumshabikia mchumia tumbo ambaye mazuzu km nyie ndio mtaji wake.
Kalaghabaho.
 
Back
Top Bottom