Tundu Lissu asimamishiwa mshahara na marupurupu yake

Hivi wanadhani wataendelea na vyeo vyao maisha yao yote?? Au wanadhani upepo uvumao sasa utaendelea kuwa upande wao?? Wajitafakari kabla jogoo hajawika.

Sent using Jamii Forums mobile app

dhaifu kama wewe ndio huwa wanasema hizi statements!!! tunaishi kwa muda huu, nyakati hizi, na leo hii

hata akitoka madarakani, kaisha kuumiza, inakusaidia nini??
 
Mkuu hao watu wa kumchangia kila mwezi siwaoni maana Watanzania maneno mengi vitendo dhoofu lihali.Nina uhakika mhe Lissu akiwasikiliza watu wa mitandaoni kwamba watamchangia halafu akavimba kichwa atalala njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu haihitaji kumchangia kila mwezi. Fanya minimum watu 500,000 wajitoe hata ndani ya wiki,tukatoa buku 2 kila mtu,tuliobarikiwa kidogo buku 10,waliobarikiwa sana 50-100. Akifikisha hata 500m zinatosha kabisa kufidia mshahara na pensheni.

Haimaanishi asipiganie kupata haki yake ya mshahara
 
Ww unaomba zidunde, mie natamani hata Israel angemtembelea huko alikoenda kutibiwa

Roho mbaya umeanza lini? Huyu sio wewe nnaekufaham. Kisasi tumwachie Mungu. Umesahau kulipa wema tunapotendewa mabaya?
 
Hii Serikali ya kiuaji kabisa. Na hawa viongozi walaaniwe kabisa. Huyo Speaker namuombea ARV zidunde kabisa. Sasa najiuliza Lissu akirudi watamlipa hata hii miezi waliosimamisha malipo? Any way acha wamtunzie. Maana akirudi itabidi wamlipe malimbikizo yote.
Jamaa anatumia ARV?
 
Kiongozi, wachaneni na account namba hzo, tupeni namba ya simu tigo pesa au m pesa tuchange, habari za kwenda bank watanzania hatunaga hzooooo
ANZA KUWA CHACHU YA MABADILIKO UNAYOYATAKA:-

changia kupitia

ACCOUNT NAME: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)

BANK NAME: CRDB
ACC. NUMBER: 01J1080100600
SWIFT CODE: CORUTZTZ

pia mshahara wa Tindu Lissu changia:-
Tundu Antiphas Lissu 01j2043045300 CRDB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ana makusudi juu ya huyu mwanaharakati,One day yes
lissu%2Bpic.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bosi wako kukuona hospital sio ticket ya kusema uliomba ruhusa ya kuumwa na hustahili adhabu. Atakapokuja kisheria amini ataangukia pua tu.Huwezi amini hili.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Haki inaenda na wajibu. Ye wajibu wake ilikua ni kutukana ovyo serikali huko Ulaya. Serikali ya wapi inaweza tekereza hizo haki

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Haki inaenda na wajibu. Ye wajibu wake ilikua ni kutukana ovyo serikali huko Ulaya. Serikali ya wapi inaweza tekereza hizo haki

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
wajibu wake wanaujua wapiga kura wake waliomchagua na walipa kodi wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom