Tundu Lissu asimamishiwa mshahara na marupurupu yake

Ni jambo lililokuwa wazi. Lilikuwa linasubiri muda tu na sasa umefika. Tuendeleeni na safari yetu ndefu. Tutafika tu. Usiku hata uwe mrefu namna gani, kutakucha tu.
 
safi sana siyo anakula mshahara tu halafu hajulikani yuko wapi angekuiwa mgonjwa bunge lingejua yupo hospital lakini hayupo huko anazurula tu
 
Back
Top Bottom