habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 456
Habari zilizopatikana muda si mrefu mkutano wa Mnadhimu mkuu Mh Tundu Lissu ambao ulipangwa kufanyika Kiomboi kuanzia saa 8 mchana umeghairishwa ghafla Huku Viongozi wa wilaya wakiwa wamekasirika sana!
Tundu Lissu hataweza kufanya mkutano huo bila kutoa sababu zozote ikiwa tayari walishajiandaa kwa mkutano! Lakini Hali ya mapokeo ya mkutano huo haukuwa na mvuto kabisa!
Inaonekana Kama CDM Iramba wameshasambaratika kabisa kila mtu na lake! Mmoja wa Viongozi amekaririwa akisema hii ni Mara ya tano kwa Tundu Lissu kupanga mkutano na kuingia mitini bila hata ya sababu ya msingi" kuanzia sasa akitaka kufanya mkutano basi kibali aombe yeye mwenyewe sie tumemchoka" alisema Mwenyekiti wa Muda"
Source" ofisi ya CDM Iramba