Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

Mahakama imeona haibu kutengua ubunge wa Lisu si kwamba imetenda haki bali malalamiko yalitokana na kumvua lema ndiyo yamefanya haya yatokee.Lisu ni kati ya watu ambao wanaoogopewa sana na ccm.
 
"Learned Brothers" hongereni sana. Hata Lema mlimpoteza kimakosa. Tunatarajia Mahakama ya Rufaa imrejeshee ubunge wake.
 
CHADEMA ikishinda kesi CCM haijaingilia lakini ikishindwa kesi CCM imeingilia uhuru wa mahakama......ni lugha tamu kuisikiliza
 
Pipoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooozi
 
Waliokuwa wanalalama kuwa mahakama hazitendi haki wako wapi?

Kama mnavyoikubali hukumu ya Lussu na ya Lema msilalamike. Mahakama hazina muda wa kufanya mchezo, nyinyi mlizowea mahakama za zamani wakati wa ujamaa, kila kitu anaamuuwa dikteta mmoja.

Mbona huoni haibu kuongea tuikubali hukumu ya lema,hatuwezi kukubali hukumu ambayo si yahaki,mbona magamba haya kuleta ushahidi kuthibitisha matusi ya lema ata kwa sauti,hilo nalo ulioni? whats wrong with u? sisi tunataka haki itendeke!
 
Hata madokta wanachukua hitory kwa kiswahili, kisukuma, kimasai ila inaandikwa kwa kingleza.
Kingleza bado mali ndugu yangu.
Haimaanishi ukoloni.
Kwani brazil kuongea kireno ina maana wako chini ya ukoloni?

Kingleza ni lugha ya wapi hiyo?
 
:target::target::target::target::target:

:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41:

:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin:

:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:

:first::first::first:

weweeeeeee hakuna kulala M4C with no apology
 
Hahahah!mkuu kama unampenda Mungu lazima upende na wale wanaoendana na matakwa ya Mungu hapa duniani!big up C.d.m bado Ubungo!

Hapa ndio tunapokuwa na wasiwasi na hiki chama! hebu badilikeni kwanza , mara oooh shetani, mara ooh Mungu wa Mbinguni, mtu hata akifikiria kuingia anasita! vipi ninyi? Chama huwa hakina Dini
 
Safi saaanaaaaa! Hongera jembe, Right Honourable Tundu A. Lissu! Tunakuaminia.
 
Any feedback from Rejao 'the gamba'?

Mkuu Idimi, usiwakurupushe akina Rejao maana hawakosi la kusema. Sasa hivi watakuja na singo nyingine, eti CDM walalamishi, kama hawaiamini mahakama mbona Lissu ameshinda. Wee Chezea rejao wewe
 
Hongera sana mpambanaji,mungu akusaidie uendelee kupigania haki za wanyonge!
 
Sasa naweza kwenda kulala, ili kesho niamke na nguvu za kumtumikia mkoloni wangu.
 
Back
Top Bottom