Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

Pamoja na kuchelewa sana, sasa jaji Moses Mzuna, ndo anatinga mahakamani, nitaendelea kuwajuza, ila naomba watu ambao hawapo mahakamani waache kutuma threads zingine zinawachanganya wasomaji.Ving'ora vya jeshi la polisi vinalia nje, vitisho kila kona utadhani kuna msafara wa Rais wa Marekani humu
 
Siiamini Serikali hii ya ccm,inawezekana kabisa wanataka kumvua ubunge Kama ilivyokuwa huku Arusha ktk hukumu ya Lema.
 
Comrade Macho yetu,vidole vyetu masikio yetu wenye vi i phone vyao,wenye madesktop,malaptop,vilaptop wote tumeielekeza kwako tumetune kwako Comrade,Mungu akupe afya ya mwili na hako kamtambo kako ukatumiako kutujuza habari zako
 
wameanza mambo yao ya mabavu ukiona hivyo kama ilivyokuwa huku arusha
 
Pamoja na kuchelewa sana, sasa jaji Moses Mzuna, ndo anatinga mahakamani, nitaendelea kuwajuza, ila naomba watu ambao hawapo mahakamani waache kutuma threads zingine zinawachanganya wasomaji.Ving'ora vya jeshi la polisi vinalia nje, vitisho kila kona utadhani kuna msafara wa Rais wa Marekani humu
Aksante mkuu tupo "online" tunasubiria kujua kitakachojiri. Hapo kwenye red alikuwa anachakachua au??
 
Ving'ora vya jeshi la polisi vinalia nje, vitisho kila kona utadhani kuna msafara wa Rais wa Marekani humu

Ukiona Daktari baada kumgusa mgonjwa wako halafu anakutazama usoni, ujue mgonjwa wako amefariki. Hivyo ving'ora havina dalili nzuri. Na kama Lema atavuliwa ina maana Polisi walishapewa taarifa kukaa sawa kuzuia fujo kama zitatokea.
 
Hivi hii kesi Mh. Lissu anaweza kushindwa!!!!??

Kesi ambayo ccm wamekuwa wakikimbia, mara wamesahau nakala gesti!!? Mara shahidi alikuwepo hasubuhi mchana haonekani!!!?
 
Na maagizo ya makamba sr mmeyasahau? Kweli kuna siku watu hawa watakumbuka vitu wanavyovifanya! Itakuwa majuto mjukuu
 
heri kuwa mtoto mwenye busara kuliko kubwa jinga
 
Back
Top Bottom